hao madogo wanajichanganya utaendaje chuo bila admission letter? ilitakiwa wawe na admission letter Ndio unapokelewa na hutolewa automatic kwenye website ya chuo na kama hujapata unapiga simu chuo ili waweze kuiruhusu na kutoka.
Kama walikimbilia chuo wanafikili na advance itakula kwao kwa sababu hawapewi kitu chochote hapa chuo

sasa hapo kisichoeleweka ni kitu gani??Mkuu bora ungeandika tu kwa kiswahili,
hivi siku hizi vijana mna andika nini...?
kuna mwingine naye nilimsikia juzi kwenye
taarifa ya habari akisema kama ulivyoandika
pale ofisi za HESLB maeneo ya mpakani.
yaani nilichoka kweli kweli , yaani msomi
wa chuo kikuu una jiita kuwa wewe ni "continous student"
shame on u.
kwen walivyokuwa wakiunga mstari kupiga kura walijua nifolen ya kuingia class ama HAPA KAZI TU
Usimaindi bro, inaitwa "continuing student"
admsion letter za udom mpaka majina yaletwe kutoka nacte ndo unazipata,,, hivyoo saaasa kutoka na kuwepo kwa ubovu wa mawasiliano kati ya nacte na udom ndo leoo hii watoto wanapata tabuu kwenye miji yawatu
habari zenu wakuuu,,,,
inasikitisha saana kuona watoto wanafika chuoni na kukataliwa kuwa hawatambuliki, hii ni baada ya wanafunzi waliochaguliwa kupitia nacte kutokutambulika na uongozi wa chuo kikuu dodoma.
nauliza ni kwanini nacte mnawatesa watoto kiasi hiki kwakutopeleka majina chuoni leoo hii wanataka kuandamana katika ofisi zenu kuja dar,
mheshimiwa raisi dk magufuli naomba uangaliee hili swala kwa umakini maana watoto wameshakata tamaa kabisaaa, nina imani mtawaskiliza kilio chao na haki zao wapatiwe.
kazi njema,.
Usimaindi bro, inaitwa "continuing student"