Tanzania ni zaidi uijuavyo.Kila kitu kinaenda kwa kufahamiana.Mda huu wanafunzi wa vyuo vikuu mbambali hapa nchini wamekusanyika bodi ya mikopo na kuanzisha vurugu.
madai yao ni kuondolewa kwenye mfumo wa kuendelea kupata mkopo huo kwa sababu hawaku uptade tarifa zao. Huku wanafunzi hao wakidai wali update tarifa hizo ila wanashangaa kwanini wameondolewa. Sasa wanadai kuonana na mkurugenzi wa bodi hiyo, nae kagoma kutoka ofisini ndipo wanafunzi wameanza kuleta vurugu. Nitaendelea kuwajuza.
tupia na pichaMda huu wanafunzi wa vyuo vikuu mbambali hapa nchini wamekusanyika bodi ya mikopo na kuanzisha vurugu.
madai yao ni kuondolewa kwenye mfumo wa kuendelea kupata mkopo huo kwa sababu hawaku uptade tarifa zao. Huku wanafunzi hao wakidai wali update tarifa hizo ila wanashangaa kwanini wameondolewa. Sasa wanadai kuonana na mkurugenzi wa bodi hiyo, nae kagoma kutoka ofisini ndipo wanafunzi wameanza kuleta vurugu. Nitaendelea kuwajuza.
Bodi ya mikopo imeshindwa kazi waifute waanzishe taasisi nyingine itakayofanya kazi kidigitale na sio hii inayofanya kazi kianalojia.
Kwa wale walioupdate halafu wakahifadhi ile copy ya form bado wanayo nafasi ya kutuma barua kueleza tatizo hilo.
Kwa wale wa UDSM wameambiwa na serikali ya wanafunzi wawasilishe copy ya ile page ya ku-update halafu serikali ya wanafunzi na chuo kitawasaidia kuwatetea.
Kwa wale ambao hawana copy ndio inakuwa sana taabu. Inabidi wasaidiwe kwa kweli. Inauma sana mtu alizoea kulipiwa ada halafu anaambiwa hatapata tena loan.
Hiyo taarifa ya kutokupata anapewa wakati gani? Kama hawawapi mapema ndiyo wanakuwa chanzo cha vurugu. Mtu ambaye alikuwa anapata ni kwa nini asiendelee kupata? Kwani sababu iliyomfanya apate inakuwa imeondoka?
Mda huu wanafunzi wa vyuo vikuu mbambali hapa nchini wamekusanyika bodi ya mikopo na kuanzisha vurugu.
madai yao ni kuondolewa kwenye mfumo wa kuendelea kupata mkopo huo kwa sababu hawaku uptade tarifa zao. Huku wanafunzi hao wakidai wali update tarifa hizo ila wanashangaa kwanini wameondolewa. Sasa wanadai kuonana na mkurugenzi wa bodi hiyo, nae kagoma kutoka ofisini ndipo wanafunzi wameanza kuleta vurugu. Nitaendelea kuwajuza.
UDSM ilitoa majina kama 190 ya ambao hawataendelea kupata mkopo kutokana na kutoupdate account zao. Majina hayo yalibandikwa mapema sana ili kuwapa wahusika taarifa mapema kama kuna matatizo wawasilishe shida zao katika serikali ya wanafunzi ili wasaidiwe. Sijajua mfumo wa vyuo vingine.
Ambao wamekosa ni wale ambao hawaku-update account kuonyesha kama wanataka kuendelea na mkopo mwaka 2013/2014 hivyo kila mtu akitakiwa aingie online akatiki katika aaccount yake kama anataka kuendelea kupata mkopo au la. Na walihimizwa wakopy ile form ili tatizo likitokea labda la kimtandao iwe rahisi kujitetea kuwa waliupdate. Na wakiwa na form ile watasaidiwa. Tena muda nakumbuka waliuongeza kuhakikisha waty wote wanaaupdate. Ilokuwa ni bure bila malipo na ilikuwa ni process ya zaidi ya miezi 3.
Ndivyo ninavyofahamu
Umeeleza vyema mkuu. Ninachotaka kujazia hapa ni kwamba vijana wakitanzania tunautamaduni wakupuuzia mambo sana. Wote tumepitia vyuoni. Tunajua umuhimu wakujaza/update hizo personal infos na adha yake pale mazingira ya uzembe na kutojali yatapojitokeza. Zoezi hilo sio la jana wala juzi..ni la kihistoria pia. Vijana wanataka wafwatwe kwenye halls zao na maeneo ya starehe ili waweze kujaza. Kuwa msomi ni kutafuta habari na sio habari ikutafute. Waliofutiwa kwa uzembe huo ni sahihi kabisa ili iwe fundisho kwa wengine. Hatuwezi kuendesha nchi watakavyo. Nchi yenyewe hii ni kama jino la mzee wa miaka 78 muda wowote linadondoka. Hakuna wakumkumbusha mtu kama hutajikumbusha mwenyewe. Uzembe wa hivi hauvumiliki.
Bodi ya mikopo imeshindwa kazi waifute waanzishe taasisi nyingine itakayofanya kazi kidigitale na sio hii inayofanya kazi kianalojia.