Tetesi: Wanafunzi wa UDOM Kurudishwa chuo kwa awamu

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,619
12,283
Achane kumjadili vibaya Mh Rais, vikao vinaendelea usiku na mchana na uwenda wakati wowote kuanzia next week vijana watarudi chuo kwa vibali maalum.
Hili la UDOM serikali ilitaka kuwapiga stop vijana wote wa vyuoni kutoandamana maana weng wanasoma kwa vibali maalumu hakupaswa kuwa ktk vyuo hivyo.

Pia hakuna mvutano wowote kati ya Rais mstaafu na Magufuli. Ikumbukwe Mh Rais bado anapata maelekezo toka kwa marais wastaafu jinsi yakuongoza taifa na pale anakosea anaonywa kimya kimya.

Hali ya usalama ni shwari na yalio pita si ndwele tugange yajayo.
Hii ndio Tanzania sikio halizidi kichwa. Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu.
 
Achane kumjadili vibaya Mh Rais, vikao vinaendelea usiku na mchana na uwenda wakati wowote kuanzia next week vijana watarudi chuo kwa vibali maalum.
Hili la UDOM serikali ilitaka kuwapiga stop vijana wote wa vyuoni kutoandamana maana weng wanasoma kwa vibali maalumu hakupaswa kuwa ktk vyuo hivyo.
Pia hakuna mvutano wowote kati ya Rais mstaafu na Magufuli. Ikumbukwe Mh Rais bado anapata maelekezo toka kwa marais wastaafu jinsi yakuongoza taifa na pale anakosea anaonywa kimya kimya.
Hali ya usalama ni shwari na yalio pita si ndwele tugange yajayo.
Hii ndio Tanzania sikio halizidi kichwa. Mungu ibarik Tz na Rais wetu.
Nonsense
 
Kwa hiyo unataka tutumie tetesi kufanya maamuzi serious? Anajadiliwa kwa aliyoyafanya... na si kwa atakayoyafanya... MPAKA HAPO KUNA TOGFAUTI KATI YA ALICHOSEMA NDALICHAKO NA ALICHOKISEMA RAISI kwenye sababu za wanafunzi kuondolewa chuoni
 
BAVICHA wametangaza kusimamia kesi za vilaza wenzio, wanajadili jesca kama compensation level, bila kuhoji aidha ali re-sit na kupata credit, hata kama hakure- sit, kuchaguliwa kwake si tija kwa vilaza wengine, vilaza mtafukuzwa tu hakuna namna, na hakuna mahakama ya vilaza, wenda mboyii awe hakimu kube awe karani, lem polis kesi inaweza kushinda, kwakuwa wote vilaza watasimamia kesi ya vilaza
 
Hii post mbona ni yakushtukiza?
Au ni ya mwendo kasi?
7b20f6001ee1b1375a7b25db0f215e5a.jpg
 
BAVICHA wametangaza kusimamia kesi za vilaza wenzio, wanajadili jesca kama compensation level, bila kuhoji aidha ali re-sit na kupata credit, hata kama hakure- sit, kuchaguliwa kwake si tija kwa vilaza wengine, vilaza mtafukuzwa tu hakuna namna, na hakuna mahakama ya vilaza, wenda mboyii awe hakimu kube awe karani, lem polis kesi inaweza kushinda, kwakuwa wote vilaza watasimamia kesi ya vilaza
Dah.. Kilaza mwingine huyuuu
 
Utendaji wa mwendokasi huu duuuh kila mwananchi lazima awe mwanariadha tu hakuna namna ingine
 
BAVICHA wametangaza kusimamia kesi za vilaza wenzio, wanajadili jesca kama compensation level, bila kuhoji aidha ali re-sit na kupata credit, hata kama hakure- sit, kuchaguliwa kwake si tija kwa vilaza wengine, vilaza mtafukuzwa tu hakuna namna, na hakuna mahakama ya vilaza, wenda mboyii awe hakimu kube awe karani, lem polis kesi inaweza kushinda, kwakuwa wote vilaza watasimamia kesi ya vilaza
Jesca pamoja na ukilaza wake ana exceptional maana ni mtoto wa kigogo pamoja na ukilaza wake chuo atasoma tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu yaani watakaorudishwa ni wale tu wenye sifa...kama ni mjadala wa Jesca yaani endeleeni ikiwezekana anzisheni thread mia moja kwa saa..lakini msimamo uko pale pale.
Hao wasio na sifa walipelekwa na upinzani huko wengi ni uvccm.
 
Unamwagia maji moshi kuzima moto badala ya kumwagia moto? Mmebugi kama tulivyobashiri
 
Back
Top Bottom