Wanafunzi wa chuo

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,102
Reaction score
4,082
Hivi ni Kwann wanafunzi wa chuo haswa wasichana ni watu ambao mapenzi yanawasumbua Sana kila siku wao wanalizwa tu wao Bora hata walioishia sekondary Wana afadhali?
 
U mach know meingi na kujiona matawi kama wanavuta favoured Oxygen
 
inasemekana kwamba mwanamke wa chuo hawezi kuwa na mwanaume mmoja so wanachukuliwa poa.
 
Walio wengi huona ni nafasi ya uhuru kwa kuwa mbali na wazazi na walezi wao.
Hivyo hujikuta wanajiachia kwa kubweteka mikononi mwa mabaharia wazoefu.
 
Kwasababu wengi wao mapenzi wameanzia rasmi chuoni
 
ngoja nisome comment sina uzoefu mimi na mambo ya chuo na madgriii aiseee..
 
Hivi ni Kwann wanafunzi wa chuo haswa wasichana ni watu ambao mapenzi yanawasumbua Sana kila siku wao wanalizwa tu wao Bora hata walioishia sekondary Wana afadhali?
wewe ni mmoja wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…