Wanafunzi wa chuo ni visumbufu sana...

Wanafunzi wa chuo ni visumbufu sana...

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,513
Aisee! Hivi nyie mnawezaje kudate na vibinti vya under 23 yrs? Aisee ni visumbufu sana mpaka kero aiseee nimenyoosha mikono.

Kuna kabinti nilikaotea mjini hapa anasoma chuo mjin hapa kana 22 yrs ila kanavyosumbua sasa mpaka kero. Muda wote kanataka muwe mnachati ukichelewa kureply txt kananuna ukikaeleza niko busy hakaelewi utaskia upo na wanawake wengine[emoji28].

Umejitahid umepiga cm umepata chance lazma kalalamike mara ooh hunijali unajali wengine aiseee. Ofcoz ni mrembo ila udiva mwingi sana. Akipiga sim usiku usipopokea atapiga hata mara10 unajua ni kero sana kwa mwanaume mtu mzma kama mimi naona usumbufu.

Ukija kwenye show dakika 20 mtoto hoi hajiwezi ile mikiki zero kabisa anaishia kulia tu kitandani. Outing zake mpeleke KFC, Pizza Hut mara utaskia paparotti sijui yaani daah aisee [emoji28].

Bora kudate na wanawake above 25 yrs hawa wengi washajua nini maana ya maisha huji kuta anasumbua hovyo hovyo atakutumia msg moja inatosha ya kukujulia hali na kama umepata lunch nk. Hivyo vitoto ni kero sana sometimes unatamani umchape koffi.
 
Umeshapata papsi unamuona mtoto sio? Vumilia hata 25yrs and above alikuwa mtoto. Mfanye awe unavyotaka wewe.
 
Back
Top Bottom