Wanafunzi wa chuo ni visumbufu sana...

Wanafunzi wa chuo ni visumbufu sana...

Kudate na mwanachuo ni kujitafitia tu umaskini! Mkiwa kwenye mahusiano, utashangaa kanakutumua sms "Baby touch yangu imeharibika" Hapo Mzee mzima lazima usulubiwe!!

Maana usitegemee kama atakubali simu ya laki mbili mfano tecno, nk!! Hapo ni Samsung, nk!! Bado mizinga ya kuishiwa boom, michango ya birthday yake, na ya rafiki zake! Na huwa vinajua muda wote una hela ya kumhonga!
 
Kama mbususu anatoa freshy tu [emoji28][emoji28]
 
Mzee umekutana na binti anaitwa pasua kichwa we endelea tu...You go bust your mendula🏃🏃🏃
 
Aisee! Hivi nyie mnawezaje kudate na vibinti vya under 23 yrs? Aisee ni visumbufu sana mpaka kero aiseee nimenyoosha mikono.

Kuna kabinti nilikaotea mjini hapa anasoma chuo mjin hapa kana 22 yrs ila kanavyosumbua sasa mpaka kero. Muda wote kanataka muwe mnachati ukichelewa kureply txt kananuna ukikaeleza niko busy hakaelewi utaskia upo na wanawake wengine[emoji28].

Umejitahid umepiga cm umepata chance lazma kalalamike mara ooh hunijali unajali wengine aiseee. Ofcoz ni mrembo ila udiva mwingi sana. Akipiga sim usiku usipopokea atapiga hata mara10 unajua ni kero sana kwa mwanaume mtu mzma kama mimi naona usumbufu.

Ukija kwenye show dakika 20 mtoto hoi hajiwezi ile mikiki zero kabisa anaishia kulia tu kitandani. Outing zake mpeleke KFC, Pizza Hut mara utaskia paparotti sijui yaani daah aisee [emoji28].

Bora kudate na wanawake above 25 yrs hawa wengi washajua nini maana ya maisha huji kuta anasumbua hovyo hovyo atakutumia msg moja inatosha ya kukujulia hali na kama umepata lunch nk. Hivyo vitoto ni kero sana sometimes unatamani umchape koffi.
Uko sawa kabisa mzee mwenzangu hata mimi nikp mbioni kukimbia huu usumbufu nliovumilia mwezi sasa.
 
Mkuu hapa Dom vyuo vipo vingi na ndio maana mbususu sio adimu sana kama mikoa mingine yaani huku hata muuza chipsi tu anajitafunia pisi za chuo mpaka Mimi muuza majeneza nawatafuna kama Sina akili nzuri pamoja na kwambia mtaa ninaoishi wananidharau sababu ya biashara yangu ila nikioga nikavaa vizuri na kakitambi kangu naingia mjini na kile kigari changu (kama Cha Mr. Bean) yaani nang'oa pisi za chuo kama msanii mkubwa anavyojitafunia warembo mitaani.
Asikwambie mtu watoto wa chuo ni cheap Sana hasa ukiwa na mwonekano flani na kigari chochote Cha kuuzia sura utawatafuna mpaka ufe

Mkuu acha kutoa siri ya kambi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji1787][emoji23]sasa nenda kwa watoto wa certificate....nway tuache wakuwe jamani...tuwaache wacheze na size zao wengine c huku tukacheze na magubegube yetu[emoji23][emoji23]
 
Aisee! Hivi nyie mnawezaje kudate na vibinti vya under 23 yrs? Aisee ni visumbufu sana mpaka kero aiseee nimenyoosha mikono.

Kuna kabinti nilikaotea mjini hapa anasoma chuo mjin hapa kana 22 yrs ila kanavyosumbua sasa mpaka kero. Muda wote kanataka muwe mnachati ukichelewa kureply txt kananuna ukikaeleza niko busy hakaelewi utaskia upo na wanawake wengine[emoji28].

Umejitahid umepiga cm umepata chance lazma kalalamike mara ooh hunijali unajali wengine aiseee. Ofcoz ni mrembo ila udiva mwingi sana. Akipiga sim usiku usipopokea atapiga hata mara10 unajua ni kero sana kwa mwanaume mtu mzma kama mimi naona usumbufu.

Ukija kwenye show dakika 20 mtoto hoi hajiwezi ile mikiki zero kabisa anaishia kulia tu kitandani. Outing zake mpeleke KFC, Pizza Hut mara utaskia paparotti sijui yaani daah aisee [emoji28].

Bora kudate na wanawake above 25 yrs hawa wengi washajua nini maana ya maisha huji kuta anasumbua hovyo hovyo atakutumia msg moja inatosha ya kukujulia hali na kama umepata lunch nk. Hivyo vitoto ni kero sana sometimes unatamani umchape koffi.
Mwanakuyatafuta mwanakuyapata
 
Back
Top Bottom