Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) wamegoma kutokana na kukosa fedha za kujikimu

Waende mjengoni kabisaaa, watu wanapiga zaidi ya 150000 per day hapo afu wao wanapiga miayo

tunamsubiri mh. waziri mkuu na yametolewa masaa kadhaa, baada ya hapo asipokuja tutaelekea mjengoni leo hii.
lazima kieleweke leo maana viongozi wanajisahau sana,so ni vyema tuwakumbushe majukumu yao.
 
tunamsubiri mh. waziri mkuu na yametolewa masaa kadhaa, baada ya hapo asipokuja tutaelekea mjengoni leo hii.
lazima kieleweke leo maana viongozi wanajisahau sana,so ni vyema tuwakumbushe majukumu yao.


Solidarity is your weapon....Go and get yo money
 
udsm wamegoma wamepewa dawa I kugoma mwanzo mwisho mpaka kieleweke tu maaana hawa watu wa ajabua sana yaani wanaona ssi wote mazuzu njaa inauma wao wanakomba mabilioni ya shilingi huu ni upuuzi mkumbwa sana ,haiwezekani kabisa hela yetu inachelewa wao wanachekelea ufisadi .nawaomba wanafunzi wenzangu tukutane October ili watutambue hawa ccm
 
hawa si ndo waliotoa waraka wa kuwatetea watuhumiwa wa ESIKURO???
mkuu kwani wewe ulitakaje maana mi najua walio toam tamko lile ni wale viongozi wachache wanaotumiwa na ccm .hata wawale walio endaa kwa mamuvii juzi kati kuna wazungumuziaje mkuu
 
Ila kwa system hii ya Udom Leo lazma kieleweke...magari hayaingii wala hayatoki Coed...
 
Naibu Waziri wa afya pamoja na vyombo vya habari vimefika coed...watu wapo uwanjani wanasubiria tamko lililosemwa na Waziri mkuu
 
Hamjapewa tuu?

Duce wamegoma, baada ya masaa machache account zikawa zinasoma figure sita
 
si walimfata lowasa waende na leo kugomea pesa za kula unawaona.Ila mgomo wa kijamii huwaoni

attachment.php
 
Coes watu wana draw zilizo zao sasa na nyuso Zenye furaha college pekee mda uu
 
View attachment 253336


UDOM (COed) hali ni tete tangu jana maana wanafunzi wamegoma kuingia madarasani wakidai pesa za kujikimu, tatizo la Bima za afya(100,000 kila mwaka) pamoja na ufisadi wa pesa za UDOSO uliofanywa na viongozi wa wanafunzi.

Si walijifanya wana hela mpaka wakamchangia fomu ya urais Lowasa hawa?Sasa wana lialia mini???Pumbavu kabisa wasomi wetu!Na policcm watandikeni virungu hawa nafikiri October akili zitawarudi.
 
Back
Top Bottom