Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Tumaini sehemu ya Makumira wafunga barabara ya Moshi/Arusha.Polisi watumia mabomu ya machozi kuwatawanya.sour nipashe breaking news
Ufunuo wa cdm,mbowe kapita hapo wameelewa somo,kwanini wanapata taabu na serikali inadai haina pesa huku wanashinikiza dowans walipwe tzs 94 billions,wapi na wapi,pesa zisaidie kugharamia elimu.