Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,044
- 3,963
Vijana wa mwaka wa kwanza wa kozi ya Architecture chuo kikuu Ardhi wamepata ajali leo asubuhi wakiwa wanatoka Songea (ambapo walienda kwa ajili ya mafunzo) kuja Dar es salaam njiani kwenye makutano ya Barabara ya Tunduru na Namtumbo.
Sababu ya ajali inasemekana ni kutokana na speed ambayo dereva alienda nayo na hali ya barabara ya pale, gari likapinduka na kubiringika mara kadhaa, lakini Mungu ni mwema wote ni wazima.
Ila wanafunzi wachache (inasemekana 6) ni majeruhi na mmoja yupo serious na wamefikishwa hospital kwa matibabu zaidi, taratibu zingine zinafanyika za kusubiri gari lingine kuja kuwachukua kuwaleta Dar es salaam.
"Hivyo kama school (SACEM) na chuo kwa ujumla naomba tuwaombee wenzetu wafike salama na Mungu awaponye majeruhi wote (nimefanya mawasiliano na Mwl Mwakipesile na amenipa taarifa za awali kwahiyo mengi zaid tutapata kutoka kwao wakifika) ahsante". alisema Acting School repsentative SACEM.