Hao ni wazee wa kukaliliPolisi sasa badala ya kuwalinda waandamanaji wao wanawatawanya.
Polisi sasa badala ya kuwalinda waandamanaji wao wanawatawanya.
Hovyo sana ao jamaaPolisi sasa badala ya kuwalinda waandamanaji wao wanawatawanya.
Ila wale walioandamana UBALOZI wa S.A kudai NDEGE walitolewa kiustaarabu wa hali ya juu, wakakamata viongozi 3 tuHivi polisi hawanaga akili za kupima madai ya waandamaji?
Kwanini wasingewaita kwa kipaza sauti, wawasikilize na kuwashauri watulie ili madai yao yafikishwe panspohusika?
Unapomkamata mwanafunzi asiyekuwa na madhara ni kumjengea hofu
Sio Kazi ya Cops hiyoHivi polisi hawanaga akili za kupima madai ya waandamaji?
Kwanini wasingewaita kwa kipaza sauti, wawasikilize na kuwashauri watulie ili madai yao yafikishwe panspohusika?
Unapomkamata mwanafunzi asiyekuwa na madhara ni kumjengea hofu
Hata mimi nililipa bili ya dawasa 14,000/- kupitia 'control number' sijapta 'risiti' ya dawasa ya kumpokea malipo! Badala yake nimepata ujumbe wa benki kwamba wamepokea 10,000/-imekuwaje pesa iliyolipwa benki isionekane kwenye akaunti ya chuo? pole kwao kwa masahibu wanayopitia.
ipo sana hii....smtmes wanafanyaga ma banktellar....anakuprintia pay in slip hewa....na wew unaondoka ukijua tayar...ndo maana kweny taasis makin ukipeleka pay in slip lisit hawakupi...mpka wapate bank statement ndo wanatoa lisit....imekuwaje pesa iliyolipwa benki isionekane kwenye akaunti ya chuo? pole kwao kwa masahibu wanayopitia.