Aisee, ila ninashangaa kitu kimoja. Hawa kwa muonekano, wanaonekana kama ni secondary students. Katika pita pita zangu na experience; enzi zile za 1970s, Mtoto wa 12 years isn't a virgin. Watu wengi wazima 50+ unasikia katika maongezi yao anakwambia mimi 13 years nilikuwa nilishakamua. Sioni ajabu hawa kufanya hivyo wakati wanaonekana 17+.
Kingine, siku hizi unakuta watoto wadogo wanacheza mchezo wa kimama na baba(mwenyewe nilikuwa naucheza) ila vitu wanavyofanya hawa ni nouma sana; mvulana nyuma ya msichana anamwambia kuchikuchi huku akimbambia. Mi napitaga tu. We are humans.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.