Wanafunzi vyuo vikuu Dodoma walazimishwa kushiriki sherehe za muungano

Azim Sokoine

JF-Expert Member
Aug 20, 2014
1,432
2,629
Habari wakuu,

Katika hali ya kushangaza wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali Dodoma wanalazimishwa kwenda kusherekea sherehe za muungano aidha kuna magari mbalimbali yameandaliwa kwa ajili ya kubeba wanafunzi kitu ambacho ni kinyume na taratibu ni kinyume na taratibu imefikia hatua za wakuu wa vyuo kuandika barua zenye kuwalazimisha wanafunzi kwenda kusherekea kwenye sherehe hizo kinyume na taratibu.
 
habar wakuu,

Katika hali ya kushangaza wanafunzi wa vyuo vikuu mbalmbal Dodoma wanalazimishwa kwenda kusherekea sherehe za muungano aidha kuna magar mbalimbali yameandaliwa kwa ajili ya kubeba wanafunzi kitu ambacho ni kinyume na taratibu ni kinyume na taratibu imefikia hatua za wakuu wa vyuo kuandika barua zenye kuwalazimisha wanafunzi kwenda kusherekea kweny sherehe hizo kinyume na taratibu..

Hakuna Mwanafunzi wa Chuo Kikuu anayelazimishwa kufanya chochote, ondoa fiksi zako na Majungu hapa!
 
IMG_0778.JPG
Happy Muungano day!
 
habar wakuu,

Katika hali ya kushangaza wanafunzi wa vyuo vikuu mbalmbal Dodoma wanalazimishwa kwenda kusherekea sherehe za muungano aidha kuna magar mbalimbali yameandaliwa kwa ajili ya kubeba wanafunzi kitu ambacho ni kinyume na taratibu ni kinyume na taratibu imefikia hatua za wakuu wa vyuo kuandika barua zenye kuwalazimisha wanafunzi kwenda kusherekea kweny sherehe hizo kinyume na taratibu..
Mbona nina rafiki yangu wa dodoma nimeongea nae kasema leo ye kachili maskani ilhali yeye ni mwanafunzi wa chuo hapo dom? Waliolazimishwa ni wa dodoma ya wapi??
 
habar wakuu,

Katika hali ya kushangaza wanafunzi wa vyuo vikuu mbalmbal Dodoma wanalazimishwa kwenda kusherekea sherehe za muungano aidha kuna magar mbalimbali yameandaliwa kwa ajili ya kubeba wanafunzi kitu ambacho ni kinyume na taratibu ni kinyume na taratibu imefikia hatua za wakuu wa vyuo kuandika barua zenye kuwalazimisha wanafunzi kwenda kusherekea kweny sherehe hizo kinyume na taratibu..
wewe Bawacha uongo utawauwa...yaani mwanafunzi wa chuo kikuu alazimishwe kushiriki sherehe? hahahaha
 
Huko ni kutojielewa. Hicho ni chuo cha uma. Fuata maelekezo. Ingekuwa Tumaini au SAUT ningekuelewa.
Hujui ulipo?
Ukiwa chuo cha dini na mambo yake ni ya kidinidini.

Utashangaa adhana Muslim University ?

Nenda kama hutaki tokaaa. Tupishe.
 
Back
Top Bottom