Wanafunzi wa kike takribani 300 watekwa Nigeria

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Mamia ya wanafunzi wa kike wametekwa nyara katika jimbo la Kaskazini-magharibi la Zamfara, BBC imeelezwa.

Mwalimu amesema takribani wanafunzi 300 wamechukuliwa wakati wa shambulilio la siku ya Ijumaa majira ya asubuhi.
Msemaji wa gavana wa jimbo amethibitisha kutokea kwa shambulio lakini hakutoa taarifa zaidi.

Hili ni tukio la karibuni la utekaji unaowahusisha watu wengi, unaolenga shule katika majuma ya hivi karibuni.
Watu wenye silaha huwateka wasichana wa shule kwa ajili ya kupata fedha.
 
Attachments

  • 1614331810017.gif
    1614331810017.gif
    42 bytes · Views: 3
Kuna masela wanaenda kuozeshana huko maporini ..ila inauma sana unasomesha mwanao harafu wanakuja siju wanamgambo wa bokoharam wanachukua mwanao aisee mm nitaenda kuwasaka ***** zao hata kwa kutafuta kujiunga nao na nikifanikiwa ni lazima hata niwchome serikalini wachapwe risasi
 
Yule raisi wa Nigeria anahusika kwa kiwango kikubwa. Sababu nasikia kuna muda wanajeshi wanawafikia na kukaribia kuwateketeza then inatoka amri kuwa jeshi warudi nyuma wasiwamalize.....

Yaani kuna watu machoko hii dunia, yule raisi namba moja matako yake....
 
hivi Nigeria inashindwa kutuma wanajeshi wakaenda huko maporini wakawaangamiza hao wana mgambo wote?

kwa taifa letu haitakaa itokee wana mgambo uchwara kama hao wa Nigeria wakaharibu amani yetu abadani.
 
Huwa wanawafikia kabisa na wanazunguka ila yule raisi @ Ms***e na Mashoga wenzake mageneral wa jeshi wanapull back jamaa wakimbie..... Hizi kwao ni biashara michezo ya kuingiza pesa kupitia serikali.

Hawa mbwa wanahisi hawatakuja kufa.......
 
eti kakikundi ka watu 70000 kana watingisha watu zaidi ya mil. 140, inashangaza sana hii..!!!
 
Kuna masela wanaenda kuozeshana huko maporini ..ila inauma sana unasomesha mwanao harafu wanakuja siju wanamgambo wa bokoharam wanachukua mwanao aisee mm nitaenda kuwasaka zao hata kwa kutafuta kujiunga nao na nikifanikiwa ni lazima hata niwchome serikalini wachapwe risasi

NGOSHA unadhani hao ni walima viazi na wachunga ng'ombe!!!!! Tena wasukuma ndio waoga sijapata ona.
 
hivi Nigeria inashindwa kutuma wanajeshi wakaenda huko maporini wakawaangamiza hao wana mgambo wote?

kwa taifa letu haitakaa itokee wana mgambo uchwara kama hao wa Nigeria wakaharibu amani yetu abadani.

Na mulivyo waoga sasa, tuombe hao njemba wasikanyage alizi yetu. Mtakufa kama nzi
 
Back
Top Bottom