wanafunzi lini tutaacha tabia ya "zimamoto" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanafunzi lini tutaacha tabia ya "zimamoto"

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by misorgenes, Jan 31, 2011.

 1. misorgenes

  misorgenes JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  wengi hatunatabia ya kutojisomea mara kwa mara, balaa linakuja tunapotangaziwa test au mtihani, hapo watu wanakesha(kubundi) usiku kucha. hivi lini tutaacha hii tabia ya zimamoto????
   
 2. doup

  doup JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  hii kwa kweli inanikumbusha mbali sana, kuna wengine walikuwa wana-wanyanyapaa wenzao kisa wanajituma katika kujisomea na kuwapachika majina eti "bundi","bunda","wametumwa na kijiji","wasongo" N.k

  lakini ikifika wakati wa homework/assignment wanajipendekeza na wao wapate kubebwa. Pia kundi hili lilikuwa likishin kwa matumaini ya kuiba mitiani (almaarufu kama 'Feki') katika mitihani yao ya mwisho.

  nachokiona mimi japokuwa sehemu kubwa ya tatizo ni serikali yenyewe kwa kuwanyanyasa Walimu kiasi cha kukinai kazi yao, huo ndio mrejesho wake, kubadilisha mitaara kila kukicha - kisiasa zaidi. Pia Kundi la hao hapo juu wasiopenda kujituma naona limeongezeka sana.
   
 3. Y

  Yusuph Salehe Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmhh Sijui!!! hata mie nahisi umenigusa ila kwa mimi nahisi ninamambo mengi ninayotingwa nayo sijui kwa wanaokaa bure
   
 4. misorgenes

  misorgenes JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hahaha! mwanafunzi hakosi sababu.
   
Loading...