wanafunzi kuweni makini na HLSSF

pia kingine nlipofka pale heslb nikamuulza m2 m1 akaniambia asikuambie m2 kuhusu hcho k2 kwa kweli wewe unadhani kuwa hawa serikali 2 wenyew wanambwela 2 ktk mikopo sembuse hao wa m2 binafsi mana hawa serikali ni zaid ya hyo ngo ila bado complain kibao mkopo ni serikali 2 ndo inaweza ku handle ingawa nayo ina madhaifu yk ila atleast hao mana wana take risk wa2 wng wanakufa wakimalza kusoma 2 wngne wanakuwa viwete wngne ajira no na mambo mng 2 xaxa unadhani hao ngo watakuwa poa 2 na ngangali kwa hayo yte mmmhh nkaishiwa pozi

kwa hyo hapo unataka kutuambia nin mkuu?
 
jaman wote nimewasikia kwakweli dah yaan ofic 2 ynyw ukifka majanga 2 na hata secretary aliekuwepo yaan anaonekana kakurupushwa 2 kawekwa alafu kingine eti mkurugenzi anapatkana jmoc bac eti cku nyingne anakuwa kazin aaaaahhh jaman kweli kweli kweli hii mmmhh! cna usemi juu ya hawa wa2 "ukitaka kuona uhondo wa ngoma bac ingia kati ukacheze" xo jaman kazi kwe2

nilifika kariakoo jana majira ya mchana. kwavile nilikuwa nimeshamalizana na maswala yalionipeleka pale ikanibidi nichukue namba ya simu walizoweka pale kwenye form zao nikawapigia. akapokea sekretari sijui ila ni mwanaume.
aliyepokea simu yangu tu kwanza ni mtu asiefahamu jinsi ya kutofautisha R an L....basi akapokea akaniambia (kalibu) sikuona kama ni tatizo nikamwambia nipo kariakoo hapa nataka kufahamu ofisi zenu zilipo maana hapa wameandika mtaa wa uhuru (ikumbukwe mtaa wa uhuru unaanzia kwenye round about ya stesheni kule mjini na unakuja mpka kariakoo kwenye ile round about ya msimbazi) kwaiyo kwa maelezo tu ya form yao ni vigumu kufahamu mtaa wa uhuru sehemu gani upande upi wa mnazi mmoja au uku wa msimbazi (my take: hawako tayari kujireveal kwa umma office zao zilipo ndo maana hawajakuandikia kwenye form wapi hasa mtaa wa uhuru wanapatikana)
yule mpokeaji wa simu yangu akanijibu ni mtaa wa uhuru kwenye makutano ya lumumba (lodi). nikamwambia sawa. lakini hujanipa jibu sahihi bado maana nikifika apo mtaa wa uhuruni upande upi sasa natakiwa kwenda. (mtaa wa uhuru kwenye makutano upande wa kariakoo au upande wa mnazi mmoja) akaniambia upande wa kariakoo natembea kidogo afu sijui upande wa kushoto kitu kama icho kuna jengo refu basi wanapatikana floor ya tisa. nikamwambia jengo linaitwaje ili iwe rahisi na mimi kufika. yeye alichoniambia nikifika nimpigie simu anipe maelezo mengine ya kuwafikia kama ntakuwa nimefika eneo husika.
mmh
sikukata tamaa.nikafika mpaka eneo alilosema na nikampigia simu hakuwa anapatikana..nikajua network busy maana ni wengi pia wamewageukiwa hawa jamaa kama mkombozi wao labda line ikawa loaded.. nikasubiri dk 10 nikawapigia hawakupatikana nikawapigia kwenye voda siku wapata pia...nikakaa pale kama nusu saa nikingoja labda watawasha simu na sikuwapata tena.
nikasema option ya simu nimekwama basi ngoja niangalie jengo refu ntahesabu floor na ntaangalia pale chini floor ya tisa juu kuna office zipi.
basi nikaanza kutalii pale jengo lenye floor tisa au zaidi kwakweli sikuliona hata moja. mengi yameishia floor saba hadi nane.
nikaona hawa jamaa hawako serious na biashara wanayoifaya. na hata uyo sekretary ni kweli amekurupushwa kama wadau walivyo sema nikajiondokea zangu kwa hasira nyingi
 
Duuh! Neema,umenikatisha tamaa na hao wajamaa,nilikuwa ktk process,za kuomba uko ila sa basi,.! Izo fom sh.ngapi na unalipia wap?
 
Habari zenu vijana wa tanzania pamoja na wazazi wa watoto wetu wanaotarajiwa kuingia elimu ya juu.
Natumia fursa hii kuwataarifu wote walioguswa kwa namna moja au nyingine na huduma ya NGO iitwayo HIGHER LEARNING STUDENTS SUPPORTING FUND(HLSSF).
Kwanza kabisa nawapongeza wote waliotoa maoni yao katika mtazamo chanya juu ya hii programu ya HLSSF.
Pili nasikitika kwa wale ambao bado wanafikra finyo katika kupanga mipango mikubwa(strategic plans).Maoni ya wadau mbalimbali katika hii forum ya jamii nimeyaona.Kila mtu ana uhuru wa kusema na kuchangia kile anachodhani ni sahihi kwake.

Kitu cha msingi ninachotaka kuwaambia watanzania wenzangu ni kwamba.Hii NGO yetu inajihusisha na kutoa huduma zipatazo nane kama zilivyoelezewa kwenye kipengele cha MASWALI NA MAJIBU kwenye mtandao wetu.Hii NGO ilisajiriwa tarehe 30/10/2008 with registration number OONGO/00002621;under the NGOs ACT NO.24/2002 as per section 12(2) chini ya wizara ya maendeleo ya jamii ,jinsia na watoto.
HLSSF inamtandao ambao ni www.hlssf.org; mtandao huu umewekewa maelezo mbalimbali juu ya programu ya HLSSF katika kipengele cha MASWALI NA MAJIBU na vingine vingi.

HLSSF ilianzishwa na vijana wa kitanzania mnamo mwaka 2008;kipindi hicho wakiwa ni wanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu cha DAR ES SALAAM.Vijana hawa kwa kuwa na uchungu na matatizo mbalimbali yaliyowapata wanafunzi kutokana na uhaba wa mikopo ya elimu ya juu;waliona ni jambo bora sana kuwa na programu mbadala itakayoisaidia serikali kupunguza tatizo la sponsorship kwa wanafunzi wa elimu ya juu.Vijana hawahawa kipindi hicho walikuwa ni wanachuo;wanaotoka familia za kipato cha chini lakini wenye vision na mission kubwa ya kusaidia kizazi kijacho cha watanzania ili kiweze kupata fursa bora ya kusoma kwa amani elimu ya juu.
HLSSF imeishafanya projects za awali kama zilivyoainishwa katika mtandao wetu.Kiukweli ni kwamba HLSSF inajikita na huduma ambazo ni very sensitive kwa watanzania wengi kwa kuwa zimgusa kundi kubwa kwa wakati mmoja.

Kuhusu sponsorship ya wanafunzi;HLSSF ilibainisha namna ambavyo itaweza kuandaa mpango mkubwa wa kufadhili wanafunzi wengi vyuo vikuu bila kubagua dini,kabila na kipato kama ifuatavyo.
1)HLSSF inamchakato wa kutafuta pesa kwa wafadhili wa ndani na nje ya nchi kupitia proposals ambazo zitakuwa zimebainisha ni wanafunzi wangapi wanataka ufadhili katika elimu ya juu.Hapa ni kwa wale hasa ambao hawana uwezo kabisa wa kujilipia na wamekosa pesa kutoka HESLB.

2)HLSSF imepanga rasmi kuutangazia umma kuanzia mwezi wa kumi na mbili kuwa wanatakiwa sasa wajiunge na MFUMO WA BIMA YA ELIMU YA JUU kupitia MFUKO WA KUSAIDIA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU(HLSSF) ili kuwa wanachama wa HLSSF kwa ajili ya kuwaandalia mazingira bora ya udhamini wa watoto wao katika masomo ya elimu ya juu.Hii itakuwa kama ifuatavyo:
Mzazi anatakiwa ajue kuwa ni wajibu wake kumsomesha mtoto hadi chuo kikuu bila ya kusubiria neema ya serikali ya kuwapatia mkopo baadhi ya wanafunzi.Hivyo basi kama mzazi anamtoto sekondari au primary anatakiwa kuongea nasi ili aweze kujua ni kiasi gani atatakiwa kuchangia kila mwezi kadiri ya mahitaji ya watoto wake ambao bado hawajafikia level ya kujiunga na masomo ya elimu ya juu.Tukishakubaliana;sisi tutampatia mahesabu sahihi ya future value of his/her contributions for let say miaka 5 au mitatu ijayo.Hii itamfanya mzazi yeyote awe mwenye kipato kikubwa au kidogo kuwa na akiba ya dhati ambayo anajua fika itampunguzia tatizo la sponsorship kwa mtoto wake.Baada ya kufanya mahesabu ya hayo ya contributions;HLSSF itaongeza ruzuku kwa mwanachama husika kwa ajili ya kufadhili masomo ya mtoto wake;ruzuku hii itatofautiana kulingana na amount of contribution na period of contribution kadiri ya mahesabu ya kitaalamu yatakayopatikana kadiri ya formula husika iliyopitishwa na uongozi.Kwa hiyo basi lengo kubwa la HLSSF ni kuwaunganisha wananchi sasa waweze kutambua kuwa jukumu la kusomesha wanafunzi elimu ya juu linawahusu kwa asilimia miamoja;hivyo basi waanze sasa kuandaa mazingira bora kwa watoto wao walio form standard 4,5,6,7 form 1,2,3,4,5 ili waweze kusoma katika mazingira bora.Hii itawasaidia wazazi wengi kutofeel the impact ya emergency to pay for costs of studies pale watakapoambiwa watoto wao hawakupata pesa za bodi ya serikali.Pia itawawezesha wazazi kutopata immediate loss ya kuuza mali zao kama viwanja,mashamba na nyumba kwa ajili ya kulipa hizo gharama za chuo.
Watanzia naomba tuwe waelewa hii ni muhimu sana kwa nchi yetu kwani bila programu kama hii vijana wengi sana wataishia form six.Tunaomba subira kidogo;tumeandaa programu kubwa ya kujitangaza kwa upana zaidi tanzania nzima kuanzia kupitia media zote na baadae kutembelea vyuo mbalimbali nchini pamoja na kuwatembelea halmashauri na serikali za kata katika mikoa yote Tanzania ili kuwahabarisha kwa kina juu ya umuhimu wa wazazi na wananchi kwa ujumla kujiunga na mpango mzima wa HLSSF EDUCATION INSURANCE SYSTEM.Hii publicity plan ni project ambayo inabidi ifanywe kwa umakini na iwe na maandalizi ya kutosha.Tutaanza mwezi wa kumi na mbili.

Kwa upande mwingine HLSSF imeandaa mpango wa kuwa na ENTRPRENEURSHIP CLUBS katika vyuo ambazo zitaelezwa kwa kina pindi tutakapotembelea vyuo mbalimbali nchini.Hizi CLUBS zitakuwa ni za wanachama wa HLSSF katika vyuo husika ambao watakuwa wanapewa maelekezo mbalimbali juu ya namna ya kujiandaa na changamoto ya soko la ajira baada ya kumaliza masomo yao vyuoni.Hivyo basi,hizi clubs zitawapa fursa vijana wengi kuandaa michanganuo yao ya biashara mapema ambayo HLSSF MANAGEMENT itaipitia kwa kina na kuitafutia mitaji au mikopo ili vijana hawa wawe katika nafasi nzuri ya kukabiliana na changamoto ya ajira pindi wamalizapo diploma/digrii au masters zao.Kwa sasa Tanzania imekumbwa na big problem of youth unemployment especially wale graduates.So;HLSSF haiko tayari kuona vijana wakitaabika mitaani huku wao wana elimu na ujuzi mkubwa wa kufanya mambo makubwa ya kisomi.Hivyo basi wanachama wetu mlio vyuoni msitazame swala moja tu lakupatiwa pesa kuna hili la ajira nalo ndo balaa zaidio.

Hata hivyo;HLSSF imeandaa mpango wa kuwatafutia wanafunzi wa vyuo vikuu maeneo ya kufanya mafunzo kwa vitendo.Wale watakao kuwa na haja ya kusaidiwa juu ya hili walete maombi yao mapema ili sisi tuweze kuwasiliana na partners na stakeholders wetu katika program hii ya Practical Training.

Mwisho kabisa:NAOMBA NIWATOE HOFU WATANZANIA WOTE KUWA SISI WADAU WA HLSSF TUNAPATIKANA KWA NJIA MBALIMBALI NA SIO MATAPELI.KINACHOFANYA WATU WASEME SISI MATAPELI NI KWAMBA WAO WAMEIPAPATUKIA HII PROGRAMU YETU BILA YA KUIJUA KWA UNDANI NI NINI?NA INAHUSIKA NA NINI HASA?INAFANYA KAZI KWA STAILI GANI?IMEANZISHWA VIPI?INA MALENGO GANI?SHIDA YA PESA ZA HARAKA KWA WANAFUNZI WENGI NAYO IMECHANGIA KWA BAADHI YA WANAFUNZI KUSEMA SISI MATAPELI!SISI TULIKUWEPO TANGU 2008;WE ARE VERY STRATEGIC KWA KUWA TUNADILI NA PROGAMU KUBWA AMBAYO TUNAITARAJI KUDUMU KWA VIZAZI NA VIZAZI.

"KWA WALE WALIOOMBA MIKOPO TUNAWAOMBA WAVUTE SUBIRA KWA KUWA SISI HATUNA CHIMBO KA PESA ILA TUMEANDAA UTARATIBU KUWA UNAPOLETA APLLICATION YAKO SISI TUNAIPITIA APPLICATION YAKO NA KUIINGIZA KWENYE LIST YA MAJINA AMBAYO TUNAYAOMBEA PESA KUTOKA KWA WAFADHILI WETU MBALIMBALI KUPITIA PROPOSALS WITH EVIDENCE KUWA KUNA WATU WANSHIDA YA UFADHILI.HATA HIVYO;NIWAJULISHE KUWA WALE AMBAO BADO HAMJATUMA KAMA UNATAKA MSAADA WETU UNAWEZA UKATUMA ILI NAWE UWE KWENYE LIST YA WALE WANAOOMBEWA PESA ZA KULIPI GHARAMA ZA MASOMO YA ELIMU YA JUU.TUTATOA TAARIFA RASMI KUPITIA MTANDAO WETU MWEZI WA KUMI.TUNAWASIHI SANA WATANZANIA WENZETU MSITUVUNJE MOYO KWA KUWA HII PROGRAMU IMEANZISHWA KWA KUJITOLEA NA INAFANYWA NA VIJANA WENZENU WENYE NIA NJEMA YA KUTATUA TATIZO LA SPONSORSHIP ELIMU YA JUU.TUPENI MUDA MUONE KWAMBA TUNAYOYAPANGA YANATIMIA."DON'T JUDGE A BOOK BY ITS COVER PLEASE"

TUNATUMAI TUNAFANYA KAZI NA WASOMI.SO TUNAWAOMBA NA NYINYI MFIKILIE KISOMI ZAIDI.WANAOTAKA MAELEZO YA KINA FIKENI OFISINI KWETU KUANZIA TAREHE 4/10/2012 NITAKUEPO MWENYEWE MKURUGENZI MKUU FULL TIME IN OFFICE FROM 9:00 AM TO 4:00PM.

NASHAURI TUWE NA UTARATIBU WA KUPATA TAARIFA KUPITIA NJIA SAHIHI KABLA HAUJAROPOKA KWA KUWA NEXT TIME UKIROPOKA UTAYARUDISHA MANENO YAKO MDOMONI.KWA WALE WANAOTAKA KUPATA TAARIFA ZETU KWA UNDANI NA WAKO MBALI NA DAR ES SALAAM;MNASHAURIWA KUSOMA KIPENGELE CHOTE CHA MASWALI NA MAJIBU KWENYE MTANDAO WETU.UKIONA HAUJAELEWA VIZURI NAKURUHUSU UNIPIGIE SIMU NA KUNIULIZA.

OFISI YETU IKO UHURU STREET, KARIBU NA KITUO CHA DALADALA CHA MNAZI MMOJA;UHURU ROAD BAADA YA MAKUTANO YA UHURU ROAD NA LUMUMBA ROAD.JENGO MOJA NA CALIST TOWER HOTEL; 9TH FLOOR,TUMETAZAMA KIDOGO NA KITUO CHA KUJAZA MAFUTA CHA GAPCO.

NAWATAKIENI KILA LA KHERI KATIKA UJENZI WA TAIFA LETU LA TANZANIA.NAOMBA TUWE NA SHUKRANI KWA WALE WANAOTOA MAWAZO CHANYA KUHUSU MAENDELEO YA TAIFA LETU.

NI MIMI
RESPICIUS KAMUHABWA,
MKURUGENZI MKUU - HIGHER LEARNING STUDENTS SUPPORTING FUND(HLSSF)
Mob:+255765420512/717488745.
Telephone: +255 22 2183709
Fax: +255 22 2183710.
E-mail:info@hlssf.org; reska@hlssf.org
 
embu wafafanulie na vile vifungu vinavyosema wakati wa kurudisha hela itakua inategemea na kuongezeka kwa value ya hela so umemaliza lets say 2015..jumla ya mkopo ni mil12..value yake by the tym unaanza kulipa inaweza fikia more than mil 17 fafanua jamani muwe waangalifu baadhi ya vitu vinawezekana tanzania..tu
 
mikopo mikopo ya elimu ya juu,tunda la shule za kata hizo ndio maana wenye sifa za HESLB wamekuwa kibweena,zamani zile ilikuwa wasomi kiduchu wakadai I & II SASA zamwagika hadi I kibao zakosa,geukieni kwenye sayansi watu bado wachache ili na kwenyewe kujae jameni,nafikiria kusajili NGO yangu ya kukopesha vijana kuanzia Dip na kuendelea,kwa ushauri wangu kuhusu HLSSF naomba BOT Watoe tamko kwani 20000/= vijana bado wanachangia na isije ikawa baadae ndio inafungiwa baada ya maumivu kwa rasilimali kupotea,nakumbuka DECI kipindi kile ilikuwa kama ukisema ni matapeli kabla ya BOT ilikuwa unaonekana kama hutaki kutajirika,ukweli ulipodhihiri watu wanatamani kupiga mtu,so BOT tunaomba muwasaidie vijana wetu kwani nauli zao za UDOM,TEKU,UCEZ,TUDACO,IFM,TIA,MUCE,DUCE,MU,SUA,OUT,STELA MARIS...........Ndio hivyo tena zinaanza kupungua kwenda kwa HLSSF.
 
Kuhusu swala la thamani ya mkopo ni kama ifuatavyo:
HLSSF haitozi riba katika mkopo wa masomo itakayompa mwanfunzi.HLSSF inatambua concept inayoitwa value of money especially for the future period.Kwa wale waliosoma masomo ya ECONOMICS NA FINANCE AU ACCOUNTING nadhani watanielewa kwa sana.
Katika dunia ya sasa kuna kitu kinaitwa financial markets;ambapo ndani ya hiki kitu utakutana na concepts kama inflation rates,exchange rates,money markets,currency spot rates na currency future rates.

Hivyo basi,kwa kutambua kuwa sisi tanzania uchumi wetu unaathiriwa na mabadiliko ya soko huria na hasa soko la fedha la kimataifa;kupitia Benki Kuu;kuna mahesabu ambayo yanafanywa kitaalamu kuweza kutambua ongezeko la thamani ya shillingi yetu au punguzo la thamani ya shillingi yetu ya Tanzania.Kwa mfano;with evidence from international financial transactions generally throughout the year Tanzanian shilling has been devaluating;thus purchasing power yake imekuwa chini.In economics;kuna concepts za devaluation and revaluation of currency.

Therefore,kama kutakuwa na constant value of our currency;then mkopo unaopaswa kurejeshwa ni shillingi millioni 12 kama ilivyokwenye mfano wako hapo juu.Yaani;hakutakuwa na mabadiliko.Lakini kwa sababu hii kitu sio hivyo;that is we dont have a fixed exchange rate system in Tanzania but rather we have almost adopted a floating exchange system. ulichopoteza.Maana ya hii expalanation ni kwamba;pesa ambayo utaturudishia kwa mfano miaka mitatu ijayo thamani yake ya sasa ni sawa na thamani ya miaka hiyo ijayo;hivyo basoi hunaThen;HLSSF has concluded to set a rate of 8% for those watakaopokea mikopo this year kama rate of fall of value of tanzanian money/shilling per year.Thus,considering the following example;this will be appropriate calculation for the money to be repaid.

For example, mwanafunzi tumempa mkopo wa shillingi milioni nne kila mwaka kwa mda wa miaka mitatu;yaani ili aweze kumaliza masomo yake ya digrii ya miaka mitatu.Tukamuongezea mda wa mwaka mmoja baada ya kumaliza chuo ili aweze kuanza kurejesha mkopo wetu kwa kuwa atakuwa ameishapata chanzo cha kipato.Hivyo basi itamchukua miaka minne ili aweze kuanza kurejesha huo mkopo.Mahesabu ya thamani ya mkopo ambayo inabidi irejeshwe ni kama ifuatavyo:

Loan to be repaid = Present loan taken + Present loan taken * rate of fall in value of Tanzania shilling * time of loan
taken to repay.
= 3 * 4,000,000 + 12,000,000 * 8% * 4
= 12,000,000 + 12,000,000 * 0.08 * 4
= 12,000,000 + 3,840,000.
= Tsh. 15,840,000.

Kwa hiyo;pesa itakayorejeshwa ni shillingi za kitanzania TSH.15,840,000.

Kwa maelezo hayo nadhani tutakuwa tumeelewana sawa sawa.Kama kuna mtu anadhani bado haelewi baadhi ya vocabulary/concepts nilizozitumia;basi inampasa aongeze elimu kupitia library,google na hata kuwaona wale wenzake waliosoma hayo masomo wamueleweshe kwa undani zaidi;kwani elimu haina mwisho wadau wa HLSSF.

=
 
Tumekuelewa mkurugenzi,binafsi nawaunga mkono vijana wenzangu muliokaa na kubuni utaratibu huu baada ya kulalamika tu,dira yenu ni mzuri na mungu awape nguvu zaidi ili muweze kufikia lengo.
 
hujajibu maswali ya msingi ambayo watu wengi wangependa kuyafahamu,lini mnatoa list ya waliopata mkopo maana vyuo vishafunguliwa?
 
Mwaka jana nilijaribu kuwatafuta kwenye web ya brela ili nione kama kweli wamesajiliwa,sikuwaona ,nakaanza kuwa na mashaka nao.tuwe makini nao.
 
NGOs hazisajiliwi BRELA.Nadhani kama mtu unadhani elimu/upeo/ufahamu wako bado ni mdogo;kuwa mpole;jishushe na uulize kwa upole ili wale wenye ufahamu na mambo ya msingi juu ya nchi yetu pamoja na sheria kwa ujumla wakueleweshe.Mimi naona watu wengine hii jamii forum wanaitumia kujiaibisha tu!Hujui kitu kaa kimya!give chance for intellectual minds to share ideas.Kwa kukushauri; nenda WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO;kuna ofisi ya registrar of NGOs in Tanzania;kamuulize akupe data.Acha ushamba bwana!
 
tujibu basi,majina mnatoa lini,maana mlitudanganya mngetoa mwezi uliopita mwishon ndio mngeyatoa?na mnatoa hyo mikopo yenu kama heslb wanavyotoa au nyie mnaitoaje?
 
Mkurugunzi, nilitaka kujua ni wangap? Wamepata mkopo mwaka jana? Mana nimeckia hakupata mtu. Na ni % gan ya walioomba?
 
NGOs hazisajiliwi BRELA.Nadhani kama mtu unadhani elimu/upeo/ufahamu wako bado ni mdogo;kuwa mpole;jishushe na uulize kwa upole ili wale wenye ufahamu na mambo ya msingi juu ya nchi yetu pamoja na sheria kwa ujumla wakueleweshe.Mimi naona watu wengine hii jamii forum wanaitumia kujiaibisha tu!Hujui kitu kaa kimya!give chance for intellectual minds to share ideas.Kwa kukushauri; nenda WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO;kuna ofisi ya registrar of NGOs in Tanzania;kamuulize akupe data.Acha ushamba bwana!

sasa matusi ya nini mkurugenzi??jibu maswali unayoulizwa acha mahubiri mkurugenzi!

Wanafunzi wangapi wameomba mwaka huu??

Ni lini mtatoa majina ya waliopata mikopo,mpo kimya mpaka leo na vyuo vimefunguliwa??

Kwa nini mnakwepa watu wasifahamu ofisi zenu??

Wewe kama mkurugenzi kwa nini upatikani ofisini??eti unapatikana jumamosi!!unawezaje kusimamia tahasisi inayofanya kazi nyeti ivyo kwa siku moja kwa wiki??wakati tunaona tahasisi ya serikali heslb wanatafuta hadi muda wa ziada!

Tukifanya follow up na kuthibitisha ivyo vyanzo vyenu vya fedha havijawai kuwapa fungu kwa ajili ya hii ishu na wala hawajawai kuwapa ahadi..je mko tayari tuwatangazie wananchi kwamba nyie ni matapeli??

Vipi tukithibitisha ngo yenu inajiendesha kwa izo application fees??

Kwa sasa mnauwezo wa kusomesha wanafunzi wangapi mpaka wanamaliza kwa miaka mitatu hadi minne??

Nimeona kwenye maelezo yako hapo juu umesema mnatoa sponsorship..sasa which is which ni sponsorship au loan??

Mkurugenzi ebu tiririka.....!!
 
kwa hayo maswali uliyompga nina uhakika hawezi kukujibu hata moja..hawa ni matapeli 2 wanaoganga njaa mjini.umeona wap mkurugenz anaefanya kazi kwenye ofic nyeti kama hiyo akapatikana siku moja tu kwa wiki jaman!
 
Habari zenu vijana wa tanzania pamoja na wazazi wa watoto wetu wanaotarajiwa kuingia elimu ya juu.
Natumia fursa hii kuwataarifu wote walioguswa kwa namna moja au nyingine na huduma ya NGO iitwayo HIGHER LEARNING STUDENTS SUPPORTING FUND(HLSSF).
Kwanza kabisa nawapongeza wote waliotoa maoni yao katika mtazamo chanya juu ya hii programu ya HLSSF.
Pili nasikitika kwa wale ambao bado wanafikra finyo katika kupanga mipango mikubwa(strategic plans).Maoni ya wadau mbalimbali katika hii forum ya jamii nimeyaona.Kila mtu ana uhuru wa kusema na kuchangia kile anachodhani ni sahihi kwake.

Kitu cha msingi ninachotaka kuwaambia watanzania wenzangu ni kwamba.Hii NGO yetu inajihusisha na kutoa huduma zipatazo nane kama zilivyoelezewa kwenye kipengele cha MASWALI NA MAJIBU kwenye mtandao wetu.Hii NGO ilisajiriwa tarehe 30/10/2008 with registration number OONGO/00002621;under the NGOs ACT NO.24/2002 as per section 12(2) chini ya wizara ya maendeleo ya jamii ,jinsia na watoto.
HLSSF inamtandao ambao ni www.hlssf.org; mtandao huu umewekewa maelezo mbalimbali juu ya programu ya HLSSF katika kipengele cha MASWALI NA MAJIBU na vingine vingi.

HLSSF ilianzishwa na vijana wa kitanzania mnamo mwaka 2008;kipindi hicho wakiwa ni wanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu cha DAR ES SALAAM.Vijana hawa kwa kuwa na uchungu na matatizo mbalimbali yaliyowapata wanafunzi kutokana na uhaba wa mikopo ya elimu ya juu;waliona ni jambo bora sana kuwa na programu mbadala itakayoisaidia serikali kupunguza tatizo la sponsorship kwa wanafunzi wa elimu ya juu.Vijana hawahawa kipindi hicho walikuwa ni wanachuo;wanaotoka familia za kipato cha chini lakini wenye vision na mission kubwa ya kusaidia kizazi kijacho cha watanzania ili kiweze kupata fursa bora ya kusoma kwa amani elimu ya juu.
HLSSF imeishafanya projects za awali kama zilivyoainishwa katika mtandao wetu.Kiukweli ni kwamba HLSSF inajikita na huduma ambazo ni very sensitive kwa watanzania wengi kwa kuwa zimgusa kundi kubwa kwa wakati mmoja.

Kuhusu sponsorship ya wanafunzi;HLSSF ilibainisha namna ambavyo itaweza kuandaa mpango mkubwa wa kufadhili wanafunzi wengi vyuo vikuu bila kubagua dini,kabila na kipato kama ifuatavyo.
1)HLSSF inamchakato wa kutafuta pesa kwa wafadhili wa ndani na nje ya nchi kupitia proposals ambazo zitakuwa zimebainisha ni wanafunzi wangapi wanataka ufadhili katika elimu ya juu.Hapa ni kwa wale hasa ambao hawana uwezo kabisa wa kujilipia na wamekosa pesa kutoka HESLB.

2)HLSSF imepanga rasmi kuutangazia umma kuanzia mwezi wa kumi na mbili kuwa wanatakiwa sasa wajiunge na MFUMO WA BIMA YA ELIMU YA JUU kupitia MFUKO WA KUSAIDIA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU(HLSSF) ili kuwa wanachama wa HLSSF kwa ajili ya kuwaandalia mazingira bora ya udhamini wa watoto wao katika masomo ya elimu ya juu.Hii itakuwa kama ifuatavyo:
Mzazi anatakiwa ajue kuwa ni wajibu wake kumsomesha mtoto hadi chuo kikuu bila ya kusubiria neema ya serikali ya kuwapatia mkopo baadhi ya wanafunzi.Hivyo basi kama mzazi anamtoto sekondari au primary anatakiwa kuongea nasi ili aweze kujua ni kiasi gani atatakiwa kuchangia kila mwezi kadiri ya mahitaji ya watoto wake ambao bado hawajafikia level ya kujiunga na masomo ya elimu ya juu.Tukishakubaliana;sisi tutampatia mahesabu sahihi ya future value of his/her contributions for let say miaka 5 au mitatu ijayo.Hii itamfanya mzazi yeyote awe mwenye kipato kikubwa au kidogo kuwa na akiba ya dhati ambayo anajua fika itampunguzia tatizo la sponsorship kwa mtoto wake.Baada ya kufanya mahesabu ya hayo ya contributions;HLSSF itaongeza ruzuku kwa mwanachama husika kwa ajili ya kufadhili masomo ya mtoto wake;ruzuku hii itatofautiana kulingana na amount of contribution na period of contribution kadiri ya mahesabu ya kitaalamu yatakayopatikana kadiri ya formula husika iliyopitishwa na uongozi.Kwa hiyo basi lengo kubwa la HLSSF ni kuwaunganisha wananchi sasa waweze kutambua kuwa jukumu la kusomesha wanafunzi elimu ya juu linawahusu kwa asilimia miamoja;hivyo basi waanze sasa kuandaa mazingira bora kwa watoto wao walio form standard 4,5,6,7 form 1,2,3,4,5 ili waweze kusoma katika mazingira bora.Hii itawasaidia wazazi wengi kutofeel the impact ya emergency to pay for costs of studies pale watakapoambiwa watoto wao hawakupata pesa za bodi ya serikali.Pia itawawezesha wazazi kutopata immediate loss ya kuuza mali zao kama viwanja,mashamba na nyumba kwa ajili ya kulipa hizo gharama za chuo.
Watanzia naomba tuwe waelewa hii ni muhimu sana kwa nchi yetu kwani bila programu kama hii vijana wengi sana wataishia form six.Tunaomba subira kidogo;tumeandaa programu kubwa ya kujitangaza kwa upana zaidi tanzania nzima kuanzia kupitia media zote na baadae kutembelea vyuo mbalimbali nchini pamoja na kuwatembelea halmashauri na serikali za kata katika mikoa yote Tanzania ili kuwahabarisha kwa kina juu ya umuhimu wa wazazi na wananchi kwa ujumla kujiunga na mpango mzima wa HLSSF EDUCATION INSURANCE SYSTEM.Hii publicity plan ni project ambayo inabidi ifanywe kwa umakini na iwe na maandalizi ya kutosha.Tutaanza mwezi wa kumi na mbili.

Kwa upande mwingine HLSSF imeandaa mpango wa kuwa na ENTRPRENEURSHIP CLUBS katika vyuo ambazo zitaelezwa kwa kina pindi tutakapotembelea vyuo mbalimbali nchini.Hizi CLUBS zitakuwa ni za wanachama wa HLSSF katika vyuo husika ambao watakuwa wanapewa maelekezo mbalimbali juu ya namna ya kujiandaa na changamoto ya soko la ajira baada ya kumaliza masomo yao vyuoni.Hivyo basi,hizi clubs zitawapa fursa vijana wengi kuandaa michanganuo yao ya biashara mapema ambayo HLSSF MANAGEMENT itaipitia kwa kina na kuitafutia mitaji au mikopo ili vijana hawa wawe katika nafasi nzuri ya kukabiliana na changamoto ya ajira pindi wamalizapo diploma/digrii au masters zao.Kwa sasa Tanzania imekumbwa na big problem of youth unemployment especially wale graduates.So;HLSSF haiko tayari kuona vijana wakitaabika mitaani huku wao wana elimu na ujuzi mkubwa wa kufanya mambo makubwa ya kisomi.Hivyo basi wanachama wetu mlio vyuoni msitazame swala moja tu lakupatiwa pesa kuna hili la ajira nalo ndo balaa zaidio.

Hata hivyo;HLSSF imeandaa mpango wa kuwatafutia wanafunzi wa vyuo vikuu maeneo ya kufanya mafunzo kwa vitendo.Wale watakao kuwa na haja ya kusaidiwa juu ya hili walete maombi yao mapema ili sisi tuweze kuwasiliana na partners na stakeholders wetu katika program hii ya Practical Training.

Mwisho kabisa:NAOMBA NIWATOE HOFU WATANZANIA WOTE KUWA SISI WADAU WA HLSSF TUNAPATIKANA KWA NJIA MBALIMBALI NA SIO MATAPELI.KINACHOFANYA WATU WASEME SISI MATAPELI NI KWAMBA WAO WAMEIPAPATUKIA HII PROGRAMU YETU BILA YA KUIJUA KWA UNDANI NI NINI?NA INAHUSIKA NA NINI HASA?INAFANYA KAZI KWA STAILI GANI?IMEANZISHWA VIPI?INA MALENGO GANI?SHIDA YA PESA ZA HARAKA KWA WANAFUNZI WENGI NAYO IMECHANGIA KWA BAADHI YA WANAFUNZI KUSEMA SISI MATAPELI!SISI TULIKUWEPO TANGU 2008;WE ARE VERY STRATEGIC KWA KUWA TUNADILI NA PROGAMU KUBWA AMBAYO TUNAITARAJI KUDUMU KWA VIZAZI NA VIZAZI.

"KWA WALE WALIOOMBA MIKOPO TUNAWAOMBA WAVUTE SUBIRA KWA KUWA SISI HATUNA CHIMBO KA PESA ILA TUMEANDAA UTARATIBU KUWA UNAPOLETA APLLICATION YAKO SISI TUNAIPITIA APPLICATION YAKO NA KUIINGIZA KWENYE LIST YA MAJINA AMBAYO TUNAYAOMBEA PESA KUTOKA KWA WAFADHILI WETU MBALIMBALI KUPITIA PROPOSALS WITH EVIDENCE KUWA KUNA WATU WANSHIDA YA UFADHILI.HATA HIVYO;NIWAJULISHE KUWA WALE AMBAO BADO HAMJATUMA KAMA UNATAKA MSAADA WETU UNAWEZA UKATUMA ILI NAWE UWE KWENYE LIST YA WALE WANAOOMBEWA PESA ZA KULIPI GHARAMA ZA MASOMO YA ELIMU YA JUU.TUTATOA TAARIFA RASMI KUPITIA MTANDAO WETU MWEZI WA KUMI.TUNAWASIHI SANA WATANZANIA WENZETU MSITUVUNJE MOYO KWA KUWA HII PROGRAMU IMEANZISHWA KWA KUJITOLEA NA INAFANYWA NA VIJANA WENZENU WENYE NIA NJEMA YA KUTATUA TATIZO LA SPONSORSHIP ELIMU YA JUU.TUPENI MUDA MUONE KWAMBA TUNAYOYAPANGA YANATIMIA."DON'T JUDGE A BOOK BY ITS COVER PLEASE"

TUNATUMAI TUNAFANYA KAZI NA WASOMI.SO TUNAWAOMBA NA NYINYI MFIKILIE KISOMI ZAIDI.WANAOTAKA MAELEZO YA KINA FIKENI OFISINI KWETU KUANZIA TAREHE 4/10/2012 NITAKUEPO MWENYEWE MKURUGENZI MKUU FULL TIME IN OFFICE FROM 9:00 AM TO 4:00PM.

NASHAURI TUWE NA UTARATIBU WA KUPATA TAARIFA KUPITIA NJIA SAHIHI KABLA HAUJAROPOKA KWA KUWA NEXT TIME UKIROPOKA UTAYARUDISHA MANENO YAKO MDOMONI.KWA WALE WANAOTAKA KUPATA TAARIFA ZETU KWA UNDANI NA WAKO MBALI NA DAR ES SALAAM;MNASHAURIWA KUSOMA KIPENGELE CHOTE CHA MASWALI NA MAJIBU KWENYE MTANDAO WETU.UKIONA HAUJAELEWA VIZURI NAKURUHUSU UNIPIGIE SIMU NA KUNIULIZA.

OFISI YETU IKO UHURU STREET, KARIBU NA KITUO CHA DALADALA CHA MNAZI MMOJA;UHURU ROAD BAADA YA MAKUTANO YA UHURU ROAD NA LUMUMBA ROAD.JENGO MOJA NA CALIST TOWER HOTEL; 9TH FLOOR,TUMETAZAMA KIDOGO NA KITUO CHA KUJAZA MAFUTA CHA GAPCO.

NAWATAKIENI KILA LA KHERI KATIKA UJENZI WA TAIFA LETU LA TANZANIA.NAOMBA TUWE NA SHUKRANI KWA WALE WANAOTOA MAWAZO CHANYA KUHUSU MAENDELEO YA TAIFA LETU.

NI MIMI
RESPICIUS KAMUHABWA,
MKURUGENZI MKUU - HIGHER LEARNING STUDENTS SUPPORTING FUND(HLSSF)
Mob:+255765420512/717488745.
Telephone: +255 22 2183709
Fax: +255 22 2183710.
E-mail:info@hlssf.org; reska@hlssf.org

Mkurugenzi wa taasisi ya kitapeli ya blast RESKA na huku upo? Mwaka huu Guiana wamekuishtukia. Ahahahahahaha!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom