Wanafunzi ktk Lunch

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Wanafunzi walikuwa wanapata msosi wakati wa mapumziko pale shuleni kwao,basi wakaanza mazungumzo yao
MWANAFUNZI#1:He!we mbona unakula mihogo kama nguruwe,nyie kweli maskini,unaniona mie mwenzio nakula mayai mkate asali nakunywa 100%fruit juice yaani napata msosi wa nguvu
MWANAFUNZI#2:Hivyo unavyokula wewe cc huwa tunampa Mbwa ale
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…