Wanafunzi chuo kikuu cha Dar, wagoma kusaini fedha ya kujikimu (Boom)

sio msaada huo mkuu hizo hela LAZMA KURUDISHA ukishaajiriwa
LOGIC iko hapa mkuu sasa kama hujafaulu vuzuri advance alaf mzazi ana kijiuwezo kiasi nakuamini vpi nikupe mkopo zaidi Ya 50%??? Maana kwa kawaida advance kuna mazingira mazuri ya kusoma compared to university........si HASARA hii maana its Obvious hutalipa
 
Yani Juma Maharagwe leo leo atapiga sim kwa waziri kutoa maelekezo kuwa mfukuzwe...
Yani jamaa ndio anachokitaka na ndio anachokipenda ..
Jamaa ana roho mbaya kweli daaah !! Yani jamaa ana roho mbaya nyie ngojeni mtaniambia afu anafurahibsana watu mkiteseka yani yeye ndio anapenda anafurahi sana
Yaani ana roho mbaya saaana!!!
Anaroho mbaya kama anauza sumu.
 
Amna hapa nikuruka na kukanyagana tu! Ayseee hapa ni kazi tu simuliipenda wenywe na mvimbe mpasuke
 
..ulivyoNijibu ni Ishara huJapata mkopo maana wewe ni ******,alaf mada Haikuwa uHB swali unalotakiwa uJiulize ni kwamba is it ur Right ebu niJibu Ili kwanza!!
Dogo najua unasoma UDOM,kumbuka hata majina ya wanaoendelea hayajarudishwa ko usishangae wakifanikiwa kwa First year wanaweza kuwageukia hata wanaoendelea kwahiyo hebu jaribu kidogo kupunguza masihara kwenye mambo ya msingi
 
..Mkuu ukifanya vitu kwa uhakika unakua confident alaf Just incase huJanotice nipo serious
 
Yani leo leo atapiga sim kwa waziri kutoa maelekezo kuwa mfukuzwe...
Yani jamaa ndio anachokitaka na ndio anachokipenda ..
Jamaa ana roho mbaya kweli daaah !! Yani jamaa ana roho mbaya nyie ngojeni mtaniambia afu anafurahibsana watu mkiteseka yani yeye ndio anapenda anafurahi sana
bora kufukuzwa mkuu kuliko kuendelea kuishi maisha magumu chuoni.
 
Back
Top Bottom