Quimica
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,117
- 1,391
Jamani wanandugu habari za usiku, napenda kuuliza kuwa hawa wanaokuwaga wanafunzi bora kitaifa ma TO wa form six au form four hivi ni kwamba wanakeshaga usiku kusoma au kwa sababu wanapoulizwa wengi husema hawakeshagi.
Mfano kuna msichana alikuwa Tanzania one form four 2015 alisema hakeshagi usiku, naomba msaada kwa wale wenye experience? Na kukesha advance kwa mtu ndo kufaulu hasa kwa combi ya PCB, PCM, CBG, PGM?
Mfano kuna msichana alikuwa Tanzania one form four 2015 alisema hakeshagi usiku, naomba msaada kwa wale wenye experience? Na kukesha advance kwa mtu ndo kufaulu hasa kwa combi ya PCB, PCM, CBG, PGM?