Wanafunzi 3000,kukosa udahili Tcu.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wakuu,nimeshindwa kupost hiyo habari kama ilivoandikwa kwenye gazeti la mwananchi la leo tar 27/06/2012,lakini kwa ufupi ni kwamba,kati ya wanafunz 40000 waliofanya udahili kwa cas-tcu,3000 watakosa udahili kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kukosea kujaza,wenye dosari hizo wametumiwa e-mail kujulishwa matatzo yao na wameshauriwa kufanya marekebisho kabla ya tarehe 30/06/2012.
Source:mwananchi ya leo.
 
Kama wametumiwa e mail kuwakuwataka warekebishe makosa yao basi ni jambo jema na wakikuosa udahili kwa mtazamo wangu utakuwa ni uzembe wao, maana wameisha pewa nafasi ya kufanya kilicho sahihi! Well done TCU!
 
chonde chonde tcu waongeze muda watu wafanye marekebisho - mbona wao tcu wameendelea kuifanyia marekebisho system yao hadi majuzi tu baada ya kuona msululu wa wadahiliwa ofisini kwao wakitoa malalamiko kadha wa kadha. hadi leo na saa hii "CHECKING IN PROGRESS" inaendelea kuduwaa takriban wiki sasa na kuwaacha wadahiliwa njiapanda
 
Mmmm....apart frm kutu email...pia wange watext ingependeza zaid koz email bado matatzo meng...
 
watendaji wetu unawezafikiri kama wapo kukwamisha ama kuzuia zaidi kuliko kazi waliyopewa, Nivizuri ukipata taarifa hii wajulishe na wengine kwa namna inayofikisha ujumbe haraka zaidi
 
Back
Top Bottom