Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wadau,
Taarifa tulizopata zinasema kuwa ni wanafunzi 20 pekee ndiyo wanaojua kusoma kati ya wanafunzi 164 wa shule ya msingi majengo iliyopo katika kijiji cha Mafisa Wilayani Handeni Mkoani Tanga.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo chanzo kikubwa cha hali hiyo kinatajwa kuwa ni utoro uliokithiri wa wanafunzi hao.
Chanzo: MCL