Wanafunzi 150 DUCE wapata mimba

Status
Not open for further replies.

Donny9990

Member
Joined
Jan 11, 2015
Posts
89
Reaction score
12
Jamiiforums: Afisa Habari wa chuo cha DUCE, Reuben Ndimbo, amekanusha habari hii kwamba si kweli.
========================

Wanafunzi 150 kati ya 1.000 waliojiunga mwaka jana katika chuo kikuu kishiriki cha ualimu Dar es salaam (DUCE) wamebainika kuwa na ujauzito waliopewa na wenzao chuoni hapo!

Chanzo: Mwananchi
 
Hahaaa chezea walimu weye....hata chuoni kwetu walimu ndio walikuwa wanaongoza kubeba mimba....!
I stand to be corrected
 
Kuzingatia na habari yeyewe yote hayo chanzo ni ugumu wa maisha. sasa hao wa kiume wao hawana ugumu wa maisha au
 
Wanafunzi 150 kati ya 1.000 waliojiunga mwaka jana katika chuo kikuu kishiriki cha ualimu Dar es salaam (DUCE) wamebainika kuwa na ujauzito waliopewa na wenzao chuoni hapo!

Mkuu source ya data hii ni wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…