| |
|
| |
|
wanatakiwa kufungua kesi ya madai ili kurudushiwa stahili zao zoteHapa sijui sasa baada ya kuwafutia kesi mahaka ilipaswa iseme watarudi chuoni au? na fidia ya kupoteza muda ni nani atalipa? Je Hawa walioidharau mahakama je sheria gani inapaswa kuchukuliwa? Kweli serikali inaidharau mahakama. Hivi ndivyo wanyonge wanavyoonewa.
wanatakiwa kufungua kesi ya madai ili kurudushiwa stahili zao zote
Sheria za Vyuo ya Mwaka 2007 ni kwamba ukiwa na kesi mahakamani unapaswa kusimamishwa masomo mpaka hapo kesi itakapoisha ukikutwa na makosa basi unafukuzwa chuo.
Kwa wa UDSM wengine walikua tayari wanaendelea na masomo, wengine watarudi chuoni mwezi wa kumi na wengine walifukuzwa kabisa.