assuming that it were true, wana haki ya kulindwa na serikali, si wanalipa kodi serikalini? au unataka serikal iwaue ili mbaki ninyi dinikolonSabato peke yenu?
wewe mchumia tumbo usiyejua lolote na usiyetaka kusumbua akiri yako kuwaza nataka ufahamu kuwa Hakuna assumption hapa,kila mtu ama taasisi inatakiwa kulindwa "kuhakikishiwa usalama wake" ndio matakwa ya katiba.