Wanafiki waanza kujipendekeza kwa Magufuli

gogo la shamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
6,670
2,165
Mimi baada ya kuwasikia watu mbalimbali katika kipindi cha tuongee asubihi Star TV nimegundua watu wanajipendekeza kwa Magufuli kwa kumsifia kwamba ni mchapa kazi lakini wakiulizwa wanataka awachague kina nani kama mawaziri wake wanajifanya hawajui kana kwamba wanaomfahamu mchapa kazi ni Magufuli tu, katika nchi hii, kwangu mimi huo ni unafiki.
 
Hawezi kuteua nje ya waliombeba na waliomfanyia kampeni. 2/3 ya baraza la JK linqrudi. Its business as usual.
 
hao wa Kikwete ndio wenye afadhali tumeona kazi zao,sasa akichagua poteleambali si ndio tutakoma kabisa
 
Ile timu ya watu 32 inaweza kuwa mawaziri isipokuwa waoangushwa kwenye uchaguzi na wwngine ambao hawajuwa wagombea
 
HIVI NI UCHAPA KAZI ? AU MPANGO WA BARABARA ULIKUWA KTK AJENDA MAALUM,TUSIJEKUWA TWAJAZANA UJINGA!
ii
 
Watu ni walewale au mnafikiri malaika ndio watakuwa mawaziri? Kimsingi kama walikuwa wakifanya kazi kwa mazoea sasa hizi ni enzi mpya watahitaji kujirekebisha mapema sana. Hapa kazi tu.
 
Mkoa ulioongoza katika matokeo ya darasa la saba ni mkoa wa Geita. Usiku mwema.
 
Back
Top Bottom