Wanafanya nini hawa?

Inavyoonekana ni kama wanakojoa kinyume na maumbile au wanajichakachua.
 
ni kukuwa kwa technologia,hawa huko kwao kuna vidudu vinauzwa kwa ajili ya wanawake ambapo wakivifaa hawana haja ya kuchuchumaa wakati wa kujisaidia haja ndogo badala yake wanakojoa wakiwa wamesimama kama wanaume.nafikiri si muda vitapatikana hapa bongo na mademu hawatakuwa na haja ya kuchuchumaa tenal
 
Uyo wa kwanza kushoto kama she male
Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…