Indume Yene Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 2,968 Reaction score 727 Feb 2, 2011 #1 Angalia picha hizi mbili kisha utoe tabia za kufanana kwa hawa viongozi. Karibu.
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,936 Feb 2, 2011 #2 Kwa kwenda msikitini; kupenda uongozi bila kuwa na uwezo, kupendwa mwanzo na kuchukiwa na wananchi wao mwishoni, kuongoza nhci ki-sultani.
Kwa kwenda msikitini; kupenda uongozi bila kuwa na uwezo, kupendwa mwanzo na kuchukiwa na wananchi wao mwishoni, kuongoza nhci ki-sultani.
KIMICHIO JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 1,179 Reaction score 81 Feb 2, 2011 #3 Kwa ulimbukeni wa kutokusoma alama za nyakati na kuuwa raia wasio na hatia.
loveness love Senior Member Joined Jan 13, 2011 Posts 148 Reaction score 8 Feb 2, 2011 #4 kung'ang'ania kura za upinzani je I mean kubadilisahana kura
Joseph JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 3,518 Reaction score 1,090 Feb 2, 2011 #5 Ni wapenda kutawala hata kwa kuiba kura na kumwaga damu.
Makindi N JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 1,066 Reaction score 177 Feb 2, 2011 #6 Majambazi ya kisiasa. Wakati mwenzie ndo anang'oka JK nae hajui tutaamkaje kesho Watanzania!
De Javu JF-Expert Member Joined May 5, 2010 Posts 264 Reaction score 33 Feb 2, 2011 #7 Wote wana PhD ya Uchakachuaji
Julz Senior Member Joined Nov 10, 2010 Posts 107 Reaction score 22 Feb 2, 2011 #8 Wanapenda kuvaa viatu vyeusi tehe teh!!!
I Itabajohn New Member Joined Jan 27, 2011 Posts 3 Reaction score 0 Feb 2, 2011 #9 Wote ni wajeshi wapenda sifa
AK-47 JF-Expert Member Joined Nov 12, 2009 Posts 1,373 Reaction score 202 Feb 2, 2011 #11 Kwa kuingiza familia nzima katika uongozi wa nchi na kuifanya Ikulu kuwa ya washkaji na wanafamilia
Mchaga JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 1,377 Reaction score 209 Feb 2, 2011 #12 Indume Yene said: Angalia picha hizi mbili kisha utoe tabia za kufanana kwa hawa viongozi. Karibu. Click to expand... Wote ni viongozi imara wa bara la Afrika
Indume Yene said: Angalia picha hizi mbili kisha utoe tabia za kufanana kwa hawa viongozi. Karibu. Click to expand... Wote ni viongozi imara wa bara la Afrika
Fredwash JF-Expert Member Joined Oct 27, 2009 Posts 1,419 Reaction score 2,092 Feb 3, 2011 #13 Indume Yene said: Angalia picha hizi mbili kisha utoe tabia za kufanana kwa hawa viongozi. Karibu. Click to expand... mbona hiyo picha ya kwenye viti kama JK kabanwa na haja ndogo... sema anaona soo kuomba udhuru na hilo pozi
Indume Yene said: Angalia picha hizi mbili kisha utoe tabia za kufanana kwa hawa viongozi. Karibu. Click to expand... mbona hiyo picha ya kwenye viti kama JK kabanwa na haja ndogo... sema anaona soo kuomba udhuru na hilo pozi
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,341 Reaction score 15,842 Feb 3, 2011 #14 Wanafanana zaidi kwa ujinga
K KABAZI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2010 Posts 303 Reaction score 11 Feb 3, 2011 #15 Lao moja ni kama wanapanga mikakati ya kivyama kuhujumu wananchi.
MADAM T JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 6,230 Reaction score 3,942 Feb 4, 2011 #16 Kujihisi wanapendwa na kukubalika kwa wananchi wao kumbe si hivyo hata kidogo
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Feb 4, 2011 #17 Wa kulia walau nchi yake kaiendeleza mwenzio ni sifuri
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,321 Reaction score 318 Feb 6, 2011 #18 Indume Yene said: Angalia picha hizi mbili kisha utoe tabia za kufanana kwa hawa viongozi. Karibu. Click to expand... Wanafanana wote ni maraisi
Indume Yene said: Angalia picha hizi mbili kisha utoe tabia za kufanana kwa hawa viongozi. Karibu. Click to expand... Wanafanana wote ni maraisi
Indume Yene Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 2,968 Reaction score 727 Feb 8, 2011 Thread starter #19 Mchaga said: Wote ni viongozi imara wa bara la Afrika Click to expand... Kama Kikwete ni mmojawapo wa viongozi imara Afrika, basi Afrika ni PANTUPU.
Mchaga said: Wote ni viongozi imara wa bara la Afrika Click to expand... Kama Kikwete ni mmojawapo wa viongozi imara Afrika, basi Afrika ni PANTUPU.
N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,826 Feb 8, 2011 #20 AK-47 said: Kwa kuingiza familia nzima katika uongozi wa nchi na kuifanya Ikulu kuwa ya washkaji na wanafamilia Click to expand... Huyu Sultani wetu alikweda Misri kwa Mubarak kujifunza jinsi ya kumuandaa mwanae [ Ridh....] aje kuwa mrithi wake atakapoondoka!! Inaelekea masomo aliyoyapata muungwana huko yanaweza kumfikisha pabaya kama alivyofikishwa mwalimu wake huko Misri!!
AK-47 said: Kwa kuingiza familia nzima katika uongozi wa nchi na kuifanya Ikulu kuwa ya washkaji na wanafamilia Click to expand... Huyu Sultani wetu alikweda Misri kwa Mubarak kujifunza jinsi ya kumuandaa mwanae [ Ridh....] aje kuwa mrithi wake atakapoondoka!! Inaelekea masomo aliyoyapata muungwana huko yanaweza kumfikisha pabaya kama alivyofikishwa mwalimu wake huko Misri!!