Wanadiplomasia kufa kwa kutatanisha mwingine balozi Wa Urusi kule UN kakutwa kafa kimya kimya New yo

emmanuel mhecha

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
933
543
Ni nini kimejificha kinachoendelea hawa wanadiplomasia wa Urusi
kufa kwa kutatanisha,kuna huyu balozi Wa Urusi kule UN kufa kifo cha kutatanisha,kukutwa amekufa kimya kimya kule New York
 
Utapata jibu kweli humu?
Ngoja niagize Popcon nione majibu
 
Ni nini kimejificha kinachoendelea hawa wanadiplomasia wa Urusi
kufa kwa kutatanisha,kuna huyu balozi Wa Urusi kule UN kufa kifo cha kutatanisha,kukutwa amekufa kimya kimya kule New York

Wanaficha ushahidi wa alichoongea na Flynn.

Amemaliza mission, amekuwa dispensable, he knew to much!!. Typical of Usalama wa Taifa kokote duniani, Huyu amekufa kimyakimya kwa manufaa ya Taifa la Urusi
 
Back
Top Bottom