Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,304
- 5,655
Acha tu nashangaa na scroll tu duh🙌🏾Kwanza hujasoma kitu nakujua hupendi kusoma😹😹😹😹
Acha tu nashangaa na scroll tu duh🙌🏾Kwanza hujasoma kitu nakujua hupendi kusoma😹😹😹😹
😹😹Izo sisomagi mimiAcha tu nashangaa na scroll tu duh🙌🏾
But bro every living thing in this world wanazaliwa na kufa sasa iyo tayari ni common characteristics to all living organisms ila tukija kwenye ukweli binadamu hatupo sawaNakuunga mkono hoja yako, hata binadamu ni mnyama!
Fact 📌 📌 📌Umazaliwa peke yako utakufa peke yako.
Hivyo wewe ni wa peke kwenye sayari hii.....baki ukielewa hivyo hakuna usawa.
vizuri umenijibia.Ukisema kitu njoo na factor bro Mimi naweza kusema tuko sawa ki structure kama wanadamu lakini in other factors ni uongo hatupo equal
🤝🤝vizuri umenijibia.
Ni kweli mkuu kupitia Sheria na haki ndio zinafanya tuwe equal ili kuweza kusocialize bila tatizoHatupo sawa na hatutakuwa sawa Ila Sheria ndo zinajaribu kutuweka sawa tuone wote ni kitu kimoja
Shida ilianzia kwa AdamHebu fikiria kama wanaadamu wangemtumaini Mungu na kupendana sisi kwa sisi Haya mambo yangelitoka wapi? Hizi tofauti zingetoka wapi? Haki ilipotea na dunia imejaa dhuluma.Mungu asilaumiwe kutokana na tofauti zilizotengenezwa na tamaa za binadamu kuanzia na Adamu mwenywe.
Mbele za Mungu wote tuko sawa.Tofauti zlizopoi tumejitafutia wenyewe
Ndiyo ndiyo mkuuNi kweli mkuu kupitia Sheria na haki ndio zinafanya tuwe equal ili kuweza kusocialize bila tatizo