Shukrani kwa hili somoUkiwa mwanadamu umeumbiwa nafsi yenye kutamani mambo yote yanayo ufurahisha moyo haijalishi imani yako inakuongoza kuwa ni halali au haramu kitu cha msingi ni ujifunze kuitawala nafsi yako ikae kwenye utu ukikubali kuoa au kuolewa tulia pambana na ndoa yako acha tamaa ikiwa ni mali tafuta kwanjia sahihi na halali ukikwazwa tafuta mbinu za sawa kujikwamua si kufata tu nafsi yako inavyotaka utapotea njia
Ili upate maendeleo ni lazima uwe na tamaa lkn ya kuyatafuta kwa njia sahihi na halali si kutamani tu nakulazimisha mambo mwisho utapita hata nguvu za giza upate hela nyumba na usafiri lkn sharti ulale chooni sadhani kama hiyo utakuwa umeitawala nafsi yako vizuriBila tamaa huwezi kufanikiwa
SawaIli upate maendeleo ni lazima uwe na tamaa lkn ya kuyatafuta kwa njia sahihi na halali si kutamani tu nakulazimisha mambo mwisho utapita hata nguvu za giza upate hela nyumba na usafiri lkn sharti ulale chooni sadhani kama hiyo utakuwa umeitawala nafsi yako vizuri
Ili upate maendeleo ni lazima uwe na tamaa lkn ya kuyatafuta kwa njia sahihi na halali si kutamani tu nakulazimisha mambo mwisho utapita hata nguvu za giza upate hela nyumba na usafiri lkn sharti ulale chooni sadhani kama hiyo utakuwa umeitawala nafsi yako vizuri
Mkuu kwani pesa ndio kila kitu katika maisha waweza kuwa na pesa lkn huna amani mf mdogo wapo waliokuwa na pesa lkn wakaumizwa na maisha mpaka wakajinyongaHizo njia zisizo sahihi ndio zina pesa mkuu
Kaka pesa ndio kilakitu, ,we jifanye msamalia mwema ufe hata kibanda hunaMkuu kwani pesa ndio kila kitu katika maisha waweza kuwa na pesa lkn huna amani mf mdogo wapo waliokuwa na pesa lkn wakaumizwa na maisha mpaka wakajinyonga
Kwani hata ukifa ili Hari una maghorofa Masaki na mbezi ndo maiti yako inakua vp?Kaka pesa ndio kilakitu, ,we jifanye msamalia mwema ufe hata kibanda huna