Wanachuo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachuo...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Anatomy, Feb 8, 2012.

 1. Anatomy

  Anatomy Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakimaliza madaktari na sisi wanavyuo tunafwata....

  Haiwezekan mwanafunzi una vigezo vyote afu mkopo usipewe..
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Dogo upo physicalyfit kwel na upo tayari kutoa uo uhai wako ili uwasaidie wenzako wasome au ni maneno baada ya kushiba ugali wa ndindi shikamoo marahaba maana nakumbuka boom la chuo 2liandamana wakaongezewa wadogo ze2
   
 3. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  uko wapi wewe? Maana mambo yote yanaanzia UDSM,sasa kama uko UDOM ndoto zako zitazimwa.
   
Loading...