Wanachuo SAUT wajiunga na CUF

Ndio matatizo ya vyuo vikuu vya kata,hivi na CUF kweli ni chama cha kujiunga nacho?it is like refering a patient to the mortuary,CUF is dead and will never revive.Pia fuatilia dini za wote waliojiunga na CUF hapo SAUT,ni bora CUF ikawa transformed into a religious institution,with its profile it will obviously perform better than in politics.
 
ndugu zake mtitiro wameamua kutokumwaibisha.akapata angalau allowance ya kwenda chuo.bila hao wanachama ingekuwa vigumu kupewa allowance za kwenda kwenye mikutano na mihadhara ya vyuo.jamani jitahidini kuwasaport viongozi wa vyama vilivyo I.C.U kwani nao wanazo familia.bila allowance ela ya mafuta watoto wao kwenda wapi?pia wanachama 10 si haba kwani kwa mwezi na robo atakuwa amerudisha wale mia 400.kidogo kidogo.... Kibaba
 
Tatizo la CUF ni wakweli mno hawataki kudanganya wanatoa uhalisia wa hali ilivyo.Ingekuwa vyama vingine hiyo kumi vingeongeza sifuri ili isomeke 100 kwa hiyo hata hao wanosema wameingiza wanachama 400 sinashaka itakuwa ni wanachama 40 tu.WATANZANIA SIJUI TUNAKWENDA WAPI?
 
ndugu zake mtitiro wameamua kutokumwaibisha.akapata angalau allowance ya kwenda chuo.bila hao wanachama ingekuwa vigumu kupewa allowance za kwenda kwenye mikutano na mihadhara ya vyuo.jamani jitahidini kuwasaport viongozi wa vyama vilivyo I.C.U kwani nao wanazo familia.bila allowance ela ya mafuta watoto wao kwenda wapi?pia wanachama 10 si haba kwani kwa mwezi na robo atakuwa amerudisha wale mia 400.kidogo kidogo.... Kibaba

Sasa we nae huo sasa ukabila.HAYA MAMBO NDO TUNAPIGA VITA.But its good kama mtu unakubaliwa kwenu kuliko kukataliwa kwenu.
 
Back
Top Bottom