Wanachuo SAUT wajiunga na CUF

Wanachuo SAUT wajiunga na CUF

Joined
Feb 26, 2012
Posts
39
Reaction score
42
Katika ziara ya Naibu katibu mkuuwa CUF bara Mtatiro Julius ilimkutanisha na wanafunzi wa SAUT mwanza ambapo uongozi wa CUF tawi la SAUT ilifanikisha jumuiko hilio ambapo wanafunzi zaid ya kumi walichukuwa kadi za CUF nakukabidhiwa na Mtatiro.Mkutano huo na wanvyuo ulihudhriwa na wanchuo wa vyama mbalimbali.
 
Wakati CUF anapata wanachama 10.Tundu Lissu alipokea wanachama wapya 169 waliojiunga na CDM
 
Anafurahia 10 hajui juzi kule Mtwara zaidi ya wanaCUF 400 wamehamia NCCR.
 
Yaani wanachama 10 tu ndiyo unakimbilia kupost hapa jamvini? ama kweli CUF imekufa.
RIP CUF!
 
SAUT 1.jpg
mmmoja ya mwanachuo akipokea kadi ya CUF kutoka kwa Mtatiro
 
Anafurahia 10 hajui juzi kule Mtwara zaidi ya wanaCUF 400 wamehamia NCCR.

Hao wanaCUF 400 umewaona wapi ama wa magazetini.Hizo niu propaganda za kutengenezwa kama unaamimi kitu usichokishuhudia,better to rethink othorwise nchi yetu itaendeshwa kwa propaganda za uongo mgumu na anaeumia ni mtanzania asiyeweza kupambanua mambo.
 
Kwani hao kumi unaosema mimi nimewaona wapi?
 
Go Mtatiro Go...CUF tunajali quality na siyo Quantity..

Mtaota sana CUF itakuwepo, na iko siku itakuwa chama tawala.
 
Jussa:Cuf imeshindwa Uzini kwa sababu ya Ukristo
 
Hao wanaCUF 400 umewaona wapi ama wa magazetini.Hizo niu propaganda za kutengenezwa kama unaamimi kitu usichokishuhudia,better to rethink othorwise nchi yetu itaendeshwa kwa propaganda za uongo mgumu na anaeumia ni mtanzania asiyeweza kupambanua mambo.

Mbatia sio mshirika wenu tena?
 
Wakati CUF anapata wanachama 10.Tundu Lissu alipokea wanachama wapya 169 waliojiunga na CDM

Yani kutokujua Hesabu ni tabu sana. Mtatiro anachezea hii equation alafu anafurahi:

10 - 400 = (390)

Lakuvunda halina ubani!!!!

Kwenye siasa lina ubani..

The movements of people accross the parties is a continous process in the multiparty system

The rise and fall of popularity is the continous process in a demcratic process

Usishangae...ndio CUF inakuwa hivyo inapitia process zote ngumu na mamluki wanakimbia

quality matters
 
tuwekee majina yao mawili tuone yakoje.
 
Back
Top Bottom