Wanachuo MIPANGO DODOMA poleni sana!WANA JF WASHAURINI!

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Nimeshuhudia wanachuo wa chuo cha mipango dodoma wakinyimwa haki yao ya kidemokrasia baada ya wagombea wao wa uraisi wote watatu(3) waliowategemea kuenguliwa na tume ya uchaguzi kwa kile kinachohofiwa kuwa vijana hao ni makini katika kufuatilia mambo hivyo kuhofiwa na uongozi wa chuo hicho kuwa wanaweza kufichua uozo unaofanywa nao.kigezo eti ni kwamba wagombea hao ni wanachama wa vyama vya siasa hasa chdm.hivi kuna mwanafunzi au mtz asiye mwanachama wa chama cha siasa?zaidi ni kwamba hata serikali mliyochagua mwaka jana ilikataliwa na uongozi na kusimika ya kwao ya mpito ambayo imeongoza hadi mwaka umeisha sasa!wanamipango wengi wanaonesha kutokuwa na imani na uchaguzi unaoenda kufanywa kwamba ya mwaka jana yanawezajirudia!
Ushauri wangu:
1.wanachuo wote msishiriki uchaguzi
2.wagombea mlioenguliwa kwa sababu ambz hazieleweki unganeni,mtafute muongozo kwa mwanasheria then mfungue kesi ya kusitisha uchaguzi hadi haki itakapokuwepo.poleni sana!wana jf wapeni ushauri wafanye nini?
Source;mimi mwenyewe nilikuwepo chuoni hapo na kushuhudia hayo
 
Tafuteni court injuction kuzuia uchaguzi huo kufanyika.Pia rejeeni katiba yenu kama mkuu wa chuo ana mandate ya ovyo hivyo kwenye uongozi wa serikali za vyuo.Simameni imara na dawa ya huyo mkuu wenu ni mahakama tu itamnyoosha mapema sana.Ni kiasi kidogo tu cha pesa muone Wakili hapo jengo la Bima mzee..... makini sana na mweledi ajabu atawasaidia.
 
someni katiba yenu muone inasemaje,ila hapo kuna mamluki sana.enzi zetu tulikuwa tunaona mpaka utawala unampa hela mgombea fulani ili ahonge ashinde.kuwe makini hasa kuna mkuu mmoja hapo makamu wa chuo.....watch out.mkuu wenu mpya ni nani..nitajieni nimcheki kwenye vyanzo vyangu...
 
Back
Top Bottom