Imeisha hiyoHizo procedures unatongoza malaika [emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tunafanya hivi...
"Dada habari🙄 umependeza nywele ,brauzi mbaka viatu...
Sasa sikia bibie ntie namba "
Apo umempa na simu kabisa na buttons za number ushaweka.
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
We umeanzisha Uzi ukijifanya nwanaume sasa jwenye comment umekuwa jike kulikoni?Azima hata I phone ya jirani muda mwengine baadhi ya wanawake tunapenda kudanganywa 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Unazungukwa naoNafahamu hivyo as na mie ni mwanamke pia naelewa zaidi sababu nazungukwa nao kwenye mazingira mengi,achia taaluma juu ya saikolojia, hii ni practically
Bisexual huyo chaliiiiJinsia yako ni ipi Mkuu?
Hasa Tecno SparkDuuh!! wenye tecno tunadharaulika
[emoji1] [emoji1]Hasa Tecno Spark