Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
CHADEMA kimekuwa kikienda na mdundo wa CCM, na CCM inawapa matukio mengi ili waendelee ku-exist. Hivi CHADEMA hawawezi kufanya kampeni bila kuitaja CCM au kuongelea hotuba za Rais?
Wenzao huko duniani huwa wanadiscuss issues bila kugusia matukio ya chama tawala.
CHADEMA inapaswa kuweka misimamo na kuongelea mwelekeo wao wakichukua nchi na siyo kukosoa Wala kubeza mambo ya CCM maana kwa kufanya hivyo CCM ikijisahihisha wanakuwa hawana hoja tena.