mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Hio hamu ya kula ambayo iko pale pale ni hamu ya kula nini?Nyie leo mi naumwa jamani ,sitaki kulala kabisa nahisi ntapitiliza,nimeletewa dawa za typhoid cipro eti 2x2 kwelii??? Badala ya moja xmoja huyu mfamasia ana nia nzuri kweli na mimi,,dawa zilivyo kali mwee,,nimekunywa ka moja kwanza nikasikilizia baadae nikanywa ya pili tena nikanywa na panado ,sitaki kunywa zote kwa pamoja,
Nimeamka vibaya nyie hovyo hovyo ,usiku sijalala kama navutwa vutwa,halaf mim muoga wa kuumwa jamani,sina nguvu kabisa ila hamu ya kula ipo pale pale [emoji23][emoji23][emoji23] nimepatikana jamani niombeen nipone haraka sipendi kuugua,halaf naogopa kufariki ,,najua nitakufa ipo siku lakin naogopa nyie mpaka najuta kuzaliwa mie,mim nataka kuishi milele tu bana hata shida nyingi hivyo hivyo tuishi tu milele
Get well soonNyie leo mi naumwa jamani ,sitaki kulala kabisa nahisi ntapitiliza,nimeletewa dawa za typhoid cipro eti 2x2 kwelii??? Badala ya moja xmoja huyu mfamasia ana nia nzuri kweli na mimi,,dawa zilivyo kali mwee,,nimekunywa ka moja kwanza nikasikilizia baadae nikanywa ya pili tena nikanywa na panado ,sitaki kunywa zote kwa pamoja,
Nimeamka vibaya nyie hovyo hovyo ,usiku sijalala kama navutwa vutwa,halaf mim muoga wa kuumwa jamani,sina nguvu kabisa ila hamu ya kula ipo pale pale [emoji23][emoji23][emoji23] nimepatikana jamani niombeen nipone haraka sipendi kuugua,halaf naogopa kufariki ,,najua nitakufa ipo siku lakin naogopa nyie mpaka najuta kuzaliwa mie,mim nataka kuishi milele tu bana hata shida nyingi hivyo hivyo tuishi tu milele
Halaf namuita na doctor aje akupime hakuna kusubiria majibu sawa anatupa huku unayaona
Vile navyokupenda ngoja niwahi hii fursa!Njoo
Duh! Ana mpango wa kuua maini yako huyo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Nyie leo mi naumwa jamani ,sitaki kulala kabisa nahisi ntapitiliza,nimeletewa dawa za typhoid cipro eti 2x2 kwelii??? Badala ya moja xmoja huyu mfamasia ana nia nzuri kweli na mimi,,dawa zilivyo kali mwee,,nimekunywa ka moja kwanza nikasikilizia baadae nikanywa ya pili tena nikanywa na panado ,sitaki kunywa zote kwa pamoja,