wanachit chat ni mafreemason!!

Hapo kwenye red unaweza ukanitajia kwa majina hao walosema kabla kamati yangu haijakaa na kuamua kukutoa kafara Baba V!
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye red unaweza ukanitajia kwa majina hao walosema kabla kamati yangu haijakaa na kuamua kukutoa kafara Baba V!
Huyu lazima tumtoe kafara manake amezidi kuchafua cv, hana hata haya.
 
Last edited by a moderator:
jamani mm naomba msaada wenu freemason nini hasa maana wengine wanasema ni chama cha matajiri duniani kweli?
 
na wewe ni mtumiaji hivyo closedmason! Tehe tehe tehe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…