figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,556
- 62,117
Hahahhahahhhahah.................nilijua tu iko siku na humu yatakuja I was so bored,but thanks guy,nitalala salama leo..
Hata mimi niliyepotea njia nikajikuta huku pia freemarson Teh teh teh
Umemuona St. Paka Mweupe ana kutafuta? Nenda upesi
Kwani unadhani hatukujui wewe figganigga kuwa ni freemason maarufu mjini?
mia=Iluminati
Kweli hilo neno 'mia' limekaa kifreemason
Hahahhahahhhahah.................nilijua tu iko siku na humu yatakuja I was so bored,but thanks guy,nitalala salama leo..
Mhhh tena? Hata hiyo mia yako imekaa kifreemason
mi nawachukia sana hao viumbe. kwani hujui ka nmeokoka?. mia
hivi nicas kwanini unantenga sana?. usharudi au bado?. huo sio mpango mpango. mia