Wanachi wa Ukonga msimchague Mwita Mwikabe wala CCM wanatufanya watanzania mazuzu

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Ndugu zangu wa ukonga tafadhalini sana msimchague mwita wala ccm yake wanalihujumu taifa kinachofanywa na ccm ni hujuma ya wazi dhidi ya taifa hili sasa jamani kama MTU ameacha ubunge kwa hiari yake kwanini alitie hasara na gharama taifa zisizo na msingi?

Jamani hii ni hujuma dhidi ya hazina ya taifa hii ni sabotage kwa taifa na inastahili adhabu inaudhi mno

Ndugu zangu wa ukonga msikubali hata kidogo kuwa sehemu ya dhambi hii kumbukeni historia itawahukumu na wajukuu zenu watawahoji babu na bibi mliwezaje kuwa sehemu ya uovu huu?

Wanaume ukonga ikumbukeni damu ya akwilina mnataka wakina akwilina wangapi wafe ukonga?

Ndugu wana ukonga litazameni hili kwa jicho LA kipekee sana na huyo mwita ni msaliti msikubali katu Abadan kuwa sehemu ya usaliti.

Mods tafadhali msifute huu Uzi hii ni kiu ya haki katiba mpya utafutwe kwa kelele zote kuepusha hizi hujuma dhidi ya taifa.

Mods chondechondechonde
 
Tatizo sio Mwita wala Ccm, Tatizo ni Siasa na Demokrasia na wananchi wala usiwalaumu ni haki yao Kikatiba ni moja ya mambo yanaumiza sanaa nafsi yangu upuuzi kama huu ila simlaumu mtu kila mtu anahaki yake Kikatiba.
 
Unawapangia cha kufanya? Acha watimize matakwa yao kikatiba. Huwezi lilia demokrasia alafu uwapangie watu cha kufanya
 
Tatizo sio Mwita wala Ccm, Tatizo ni Siasa na Demokrasia na wananchi wala usiwalaumu ni haki yao Kikatiba ni moja ya mambo yanaumiza sanaa nafsi yangu upuuzi kama huu ila simlaumu mtu kila mtu anahaki yake Kikatiba.
Huwezi kuitoa ccm kwenye lawama wao ndio tumewapa mamlaka ya kulinda hazina ya taifa kwa miaka 5 wakifanya upuuzi kama huu lazima tuwahoji ni ujinga kinachofanyika

Halafu usitetee ujinga kwa mgongo wa demokrasia kinachofanyika ni hujuma ni sabotage dhidi ya taifa
 
Hapo hakuna uchaguzi jamaa kashapita. Hata upinzani ukipata kura zote .....
 
Sasa wewe u akuja kulalamikia huku wee unafikiri wanaukonga wote wako humu jf? ilitakiwa usimame hadharani huko ukonga ndo uongee hiki ulichiandika hapa nadhani ndo wangekusikia zaidi
 
Back
Top Bottom