Ungeeleza hivyo mkuu, hujaeleza popote kwenye uzi wako.Mkoa wa kipolisi ndugu.
Title ingefaa kuwa hivi "Wanachama wa CUF wana nguvu kushinda jeshi la polisi la mkoa wa kipolisi temeke?" hapa ungeondoa maswali ningekuwa hakimu unakula miaka 30 nipande cheo mimiWenye fani yao wanajua
Temeke ni mkoa kipolisi kunguni wewe use unaulizaTemeke ni mkoaau manispaa? Kama ni mkoa mkuu wake wa mkoa anaitwa nani
Wewe kenge, mkund.u kufyata unaetumia jina la vifaa vya solar, mleta uzi angeandika hivi "Wanachama wa CUF wana nguvu kushinda jeshi la polisi la mkoa wa kipolisi temeke?"
Nimejiuliza swali hili lakini bado majibu hayajitoshelezi.
Jeshi la Polisi hawawezi kuwadhibiti wana CAF ambao Ni wavamizi wa mkutano wa ACT Wazalendo?
Udhaifu huu wa Jeshi la Polisi umeanza lini kushindwa nguvu na chama Cha siasa tena Cha upinzani.?
Tunatakiwa kuwalinda wanachama wa ACT Wazalendo wanafanya mkutano wao wa ndani sisi tukiwa nje.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke sijaelewa nguvu yenu ya ulinzi iko wapi.Prof Lipumba na wafuasi wake wanaweza kuwashinda nguvu kweli? Siamini hata kidogo.
Nimemsikiliza Jana Kamanda Mambosasa hata sikumuelewa kabisa.Eti CUF wangeleta fujo ktk mkutano wa ndani wa ACT kweli inaingia akilni....mlango wa kukngia ukumbi wa Hotel ya PR ni mmoja hata ukiweka Askari mmoja mwenye silaha angetosha kabisa na mkutano wa ACT ungefanyika vizuri tu.
Mkuu ukipata majibu naomba uni-tag tafadhali
mkoa wa kipolisi mzee ndo maana kuna RPC wa tenekeTemeke ni mkoaau manispaa? Kama ni mkoa mkuu wake wa mkoa anaitwa nani