Wanachama wa CUF wana nguvu kushinda Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke?

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,788
4,490
Nimejiuliza swali hili lakini bado majibu hayajitoshelezi.

Jeshi la Polisi hawawezi kuwadhibiti wana CAF ambao Ni wavamizi wa mkutano wa ACT Wazalendo?

Udhaifu huu wa Jeshi la Polisi umeanza lini kushindwa nguvu na chama Cha siasa tena Cha upinzani.?

Tunatakiwa kuwalinda wanachama wa ACT Wazalendo wanafanya mkutano wao wa ndani sisi tukiwa nje.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke sijaelewa nguvu yenu ya ulinzi iko wapi.Prof Lipumba na wafuasi wake wanaweza kuwashinda nguvu kweli? Siamini hata kidogo.
 
ACT imejiharibia sana kuanza kwa kiki za kibabe na unyang'anyi sasa acha wakutane na NGANGARI
 
  • Thanks
Reactions: mmh

Kuna vitu vinafanyika Tanzania vinatia aibu sana.
Vinaitia aibu sana mamlaka.

Unawazuia hawa wasifanye mikutano na kuwaacha wale wafanye, mwisho unakosa sababu za kuwazuia unatoa sababu za hovyo kabisa.
 
Wenye fani yao wanajua
Title ingefaa kuwa hivi "Wanachama wa CUF wana nguvu kushinda jeshi la polisi la mkoa wa kipolisi temeke?" hapa ungeondoa maswali ningekuwa hakimu unakula miaka 30 nipande cheo mimi
 
Nimejiuliza swali hili lakini bado majibu hayajitoshelezi.

Jeshi la Polisi hawawezi kuwadhibiti wana CAF ambao Ni wavamizi wa mkutano wa ACT Wazalendo?

Udhaifu huu wa Jeshi la Polisi umeanza lini kushindwa nguvu na chama Cha siasa tena Cha upinzani.?

Tunatakiwa kuwalinda wanachama wa ACT Wazalendo wanafanya mkutano wao wa ndani sisi tukiwa nje.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke sijaelewa nguvu yenu ya ulinzi iko wapi.Prof Lipumba na wafuasi wake wanaweza kuwashinda nguvu kweli? Siamini hata kidogo.
:confused::confused:
Mkuu ukipata majibu naomba uni-tag tafadhali
 
:confused::confused:
Mkuu ukipata majibu naomba uni-tag tafadhali
Nimemsikiliza Jana Kamanda Mambosasa hata sikumuelewa kabisa.Eti CUF wangeleta fujo ktk mkutano wa ndani wa ACT kweli inaingia akilni....mlango wa kukngia ukumbi wa Hotel ya PR ni mmoja hata ukiweka Askari mmoja mwenye silaha angetosha kabisa na mkutano wa ACT ungefanyika vizuri tu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom