Kukosoa ni vyema sana. Ila nyie mnakosoa si kwa nia nzuri ndo maana ukosoaji wenu ni wa kejeli tupuu. Hivi nikuulize wewe hapo nyumbani kwako mkeo akikukosoa kwa dhihaka kutakalika ndani ya nyumba? Utwahi kumsikiliza hata siku moja? Mkeo aanze kukumbie maneno kama mwanaume suruarii..Mwanaume uchwarra teh teh teh kisa tu anasema anataka kukukosoa hivi patakalika ndani ya nyumba? Tuanzie hapo ndo utaelewa nini kinaendelea Tanzania
Tupo Tanzania hatupo kwa Obama. Kwa kudhani kila wafanyacho wamarekani ndo tunapaswa kuiga ni utumwa wa kijinga. Unapoongelea mazingira ya marekani na unapojaribu kufanisha na Tanzania ni vitu viwili tofauti. Tunahitaji kupita hatua nyingi kufikia hayo mazingira. Demokrasia sio formula ya Coca Cola. Kwa marekani mtoto anaweza akamuambia mzazi "F.u** U" na yakaisha. Thubutu kumuambia maneno hayo hayo mzazi wa kitanzania utaona itakuwaje. Point yangu ya msingi katika kufanya hizi analogies ni kukuonyesha kwamba mazingira yana umuhimu sana . Playfield ina matter. Tanzania hatujafikia hiyo level ya kutaka kutukana wakubwa zetu. Tuna mila na desturi zetu. Ndo maana narudia kwamba demokrasia sio formula ya coca cola. Situation waliyokuwa nayo Rwanda Kagame asingekuwa tough Rwanda bado ingekuwa kwenye civil war. Lazima tujifunze kuwa responsible kwanza kabla hatujaenda kwenye level ya kufanya tutakacho. Marekani unayoizungumzia imejengwa kwa miaka miatatu kufikia hiyo demokrasia unayoongelea. Hao watu weusi wamepata tu haki hata miaka hamsini haijafika na sio full haki bado system inawaminya..Kwa hiyo mifano yako ya marekani ni ulimbukeni na utumwa. Kwa Tanzania unapompa mtu uhuru anautumia kuundermine authority. Na ukia undermine authority inajenga tabia ya watu kudharau mamlaka. Wenzetu pamoja na kumtukana Rais wanaheshimu sana mamlaka. Tukifikia stage ya kuwa responsible ndo tunaweza kufanya hicho unachosema. Watanzania bado ni manyumbu. Ina maana mtu yeyote mwenye nia mbaya anaweza kuwatumia ku destabilize nchi. Kwenye mazingira kama hayo lazima dola ihakikishe interest za nchi zinalindwa. Hatujafikia stage ya wamarekani. Wamarekani wameweka tayari system za kuwa control raia wao wasiwe manyumbuu sisi hatuna hizo systemKuna makosa kadhaa katika hoja yako....
1. Kunijumuisha mimi katika kundi fulani na kuaddress kama "Nyie".....Mimi sina kundi, wala siiegemezi akili yangu katika kundi lolote...Akili yangu ni huru, nakosoa panapohitajika na kusifia panapohitajika
2. Kufananisha uongozi wa nchi na maisha ya mtu na mkewe...Na huenda huyo kipenzi chako naye anachukulia hivyo...Kwamba yeye ni baba na Watanzania ni wake zake....Hili si sahihi, nchi ina inaongozwa kwa katiba na si utashi wa baba katika familia...Nchi inaongozwa na mfumo ambao ni demokrasia inayowapa haki wapinzani kufanya mikutano na kuikosoa serikali..
3. Kinachokosekana ni "Ukomavu wa kisiasa" na "Uvumilivu"...Kina Obama wanakosolewa wazi wazi tena kwa kejeli sana tu lakini hatuoni mtu akifungwa kwa "Uchochezi" au "Kejeli kwa raisi"..
Tupo Tanzania hatupo kwa Obama. Kwa kudhani kila wafanyacho wamarekani ndo tunapaswa kuiga ni utumwa wa kijinga. Unapoongelea mazingira ya marekani na unapojaribu kufanisha na Tanzania ni vitu viwili tofauti. Tunahitaji kupita hatua nyingi kufikia hayo mazingira. Demokrasia sio formula ya Coca Cola. Kwa marekani mtoto anaweza akamuambia mzazi "F.u** U" na yakaisha. Thubutu kumuambia maneno hayo hayo mzazi wa kitanzania utaona itakuwaje. Point yangu ya msingi katika kufanya hizi analogies ni kukuonyesha kwamba mazingira yana umuhimu sana . Playfield ina matter. Tanzania hatujafikia hiyo level ya kutaka kutukana wakubwa zetu. Tuna mila na desturi zetu. Ndo maana narudia kwamba demokrasia sio formula ya coca cola. Situation waliyokuwa nayo Rwanda Kagame asingekuwa tough Rwanda bado ingekuwa kwenye civil war. Lazima tujifunze kuwa responsible kwanza kabla hatujaenda kwenye level ya kufanya tutakacho. Marekani unayoizungumzia imejengwa kwa miaka miatatu kufikia hiyo demokrasia unayoongelea. Hao watu weusi wamepata tu haki hata miaka hamsini haijafika na sio full haki bado system inawaminya..Kwa hiyo mifano yako ya marekani ni ulimbukeni na utumwa. Kwa Tanzania unapompa mtu uhuru anautumia kuundermine authority. Na ukia undermine authority inajenga tabia ya watu kudharau mamlaka. Wenzetu pamoja na kumtukana Rais wanaheshimu sana mamlaka. Tukifikia stage ya kuwa responsible ndo tunaweza kufanya hicho unachosema. Watanzania bado ni manyumbu. Ina maana mtu yeyote mwenye nia mbaya anaweza kuwatumia ku destabilize nchi. Kwenye mazingira kama hayo lazima dola ihakikishe interest za nchi zinalindwa. Hatujafikia stage ya wamarekani. Wamarekani wameweka tayari system za kuwa control raia wao wasiwe manyumbuu sisi hatuna hizo system
Ninakuongezea na hili Nape na Kinana walizunguka nchi nzima wakimtangaza waziri Jumanne magembe kuwa ni waziri mzigo na kumshawishi Jk amuondoe lakini leo wako pamoja katika nyumba moja na kerere za waziri mzigo hazipo tena,CCM waliwaita wale wanaokihama chama ni oil chafu lakini haohao ndio wanaoombwa na CCM kupitia kwa Mwenyekiti wao warudi CCM na uchafu wao hauonekani tena.CHADEMA NI CHAMA CHA WAFANYA BIASHARA NA WATU WASIOKUWA NA KUMBUKUMBU.
Watanzania wenzangu tuweni makini ipo siku tunaweza kutawaliwa na Chama ambacho watu wake wanapoteza kumbukumbu kama Chadema, na walafi wa madaraka huku wakitudanganya kuwa ni watetezi wa wanyonge.
Kama mnakumbuka tarehe 15, September 2007 Chadema kupitia Katibu wao mkuu Dr,Slaa na Lissu walitaja" A list of shame" pale mwembe Yanga Tandika jijini Dar es salaam, miongoni mwa mafisadi waliotajwa ni Edward Lowasa wakimuita fisadi papa lakini kwasasa ndio boss wao mkubwa na hata kufikia kumuingiza kwenye kamati kuu kwa njia za panya, yaani kinyemera bila kufuata utaratibu.
Tundu lissu kwasasa anamtetea mpaka mapovu ya sabuni yanamtoka mdomoni kuwa ni msafi, ni hakika viongozi wa juu wa Chadema wanapoteza kumbukumbu Lowasa huyu huyu alipochukua form kugombea Urais kura za maoni kupitia CCM wapinzani walisema hasafishiki lakini alopohamia Chadema wakamsafisha kwa sabuni ya OMO mpaka katakata hadi kuwa na mvi nyeupe.
Chadema haohao walimuita Rais Kikwete kuwa ni dhaifu hapaswi kuongoza Taifa letu na kusema Taifa letu lilipofikia linataka Rais mkali, sasa tumempata Mh,Magufuli anayesimamia mambo kwa umahiri wanasema ni dikiteta hafuati katiba, cha kushangaza wamekuwa wakisema anavunja katiba lakini hawatwambii amevunja katiba kipengere kipi?
Chadema walikuwa wanasema serikali ya Mh,Kikwete ni regelege haikusanyi kodi, na sasa JPM anakusanya kodi wamegeuza kibao na kusema anafukuza wafanya biashara na wawekezaji.
Chadema hihi viongozi wake walisikika wakisema hadharani kuwa My,Kikwete ni dhaifu hawachukulii hatua mafisadi na wafanyakazi wazembe. Kwasasa Mh,JPM anawafukuza wafanyakazi wazembe na mafisadi Lissu na Mbowe wanasema anawaonea wafanyakazi asiwafukuze kuwa ni kinyume cha haki za binadamu.
Mh,Magufuli alipoanza kazi walisema anatekeleza Ilani yao lakini hawakutwambia katika ilani yao mahakama ya mafisadi imeandikwa page gani na chapter gani, kama haitoshi baada ya kuona watanzania tunamkubali JPM wakaanza kusema ni dikiteta.
Ndugu zangu watanzania kuweni makini na hawa watu tusije kuwa kama Libya walivyo danganywa kuwa tuiondoe serikali ili tulete mabadiliko, leo hii waliowadanganya wao kwa wao wamekuwa wakipigania madaraka na kuwafanya wananchi wakimbizi kuelekea Italy.
Kama kweli Mbowe ni mtetezi wa wanyonge awambie watanzania kwa nini ana miliki nyumba kubwa huko Marekani, Saud Arabia na huko South Afrika kwa kutumia ruzuku ya Chama chake inayolipwa na Watanzania Wakati Chadema ikiwa haina hata jengo la ofsi za makao makuu iliyojengwa kwa zaidi ya miaka 24 tangu kianzishwe.
Kama kweli Mbowe anawapenda watanzania wa hali ya chini atuambie kwanini yeye watoto wake wote saba wanaishi Marekani?
Hii inaonesha kuwa Mbowe na chama chake hana uchungu wowote ule na wanyonge wa nchi hii, angekuwa anatuonea huruma asingetumia Mali za chama kujenga majumba ya kifahari nje.
Ukitaka uamini maneno yangu fuatilia hotuba za Bunge letu uone ni lini imeletwa ajenda ya kuwataja watu walioficha pesa nje Mbowe akaisapoti? Hajawahi kufanya hivi kwasababu na yeye kaficha pesa nyingi huko Asia.
Ni lini imeletwa ajenda ya kupanda kwa nauli za mabasi kwenda mikoani Mbowe au Lowasa wakatetea? haijawahi na wala haitatokea kwa maana ndo wamiliki wakubwa wa mabasi nchini.
Ni lini Mbowe na Lowasa wametetea kushusha bei ya mafuta nchini? Sasa basi kama haya yote Chadema haijawahi kutetea unategemea kuwa ni sahihi ni chama cha wanyonge hiki si kweli hiki ni chama cha wafanyabiashara nchini wapiga madili wote huamia Chadema.
Mwisho ndugu zangu tumsapoti Mh,JPM ni Rais wakuigwa duniani hayumbishwi na mtu, hakika nawambieni kama Chadema waliweza kumsafisha Lowasa na kumuita mwana mabadiliko na Mh,Magufuli leo akihamia Chadema watamuita Malaika.
JPM piga kazi Mh,achana na hawa wapoteza kumbukumbu sisi watanzania tunakuunga mkono.
Imeandaliwa na wenu,
MWITA NYARUKURURU
mwitanyarukururu@gmail.com