N nyamnini JF-Expert Member Joined Mar 10, 2015 Posts 2,734 Reaction score 1,556 Jun 14, 2015 #81 mutisya mutambu said: ACT ndio kitu gani Click to expand... Chama makini cha siasa.
Omulangi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2008 Posts 1,036 Reaction score 267 Jun 14, 2015 #82 Ritz said: Mkuu inawezekana wameamua kuondoka chama cha wachaga. Click to expand... Siku hizi kimekuwa cha wachaga na wanyambo wa Kyerwa muulize Kinana.
Ritz said: Mkuu inawezekana wameamua kuondoka chama cha wachaga. Click to expand... Siku hizi kimekuwa cha wachaga na wanyambo wa Kyerwa muulize Kinana.
Mohamed Mbelwa JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 507 Reaction score 272 Jun 15, 2015 #83 Mbozi ndiko wanakotokea wasariti namba1 wa harakati za mbeya .Shoza na mwampamba. ukichunguza waweza kuta kuna asili ya kigoma
Mbozi ndiko wanakotokea wasariti namba1 wa harakati za mbeya .Shoza na mwampamba. ukichunguza waweza kuta kuna asili ya kigoma
N nkongu ndasu JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 22,532 Reaction score 6,628 Jun 15, 2015 #84 act ipo kwa ajili ya vyama vya upinzani na sio ccm...
F fundimchundo JF-Expert Member Joined Jul 23, 2010 Posts 747 Reaction score 1,044 Jun 15, 2015 #85 Ritz said: Huyu hapa kamalizia. By Ulukolokwitanga: Sasa huko mbozi hao waliojiunga na chama cha waha wasaliti watajifunzia wapi kuvua migebuka? Ama mtawasafirisha hadi Kibirizi au Kazuramimba?? Click to expand... Cha Waha au Warundi? ACT ni chama cha Mrundi, siyo Muha.
Ritz said: Huyu hapa kamalizia. By Ulukolokwitanga: Sasa huko mbozi hao waliojiunga na chama cha waha wasaliti watajifunzia wapi kuvua migebuka? Ama mtawasafirisha hadi Kibirizi au Kazuramimba?? Click to expand... Cha Waha au Warundi? ACT ni chama cha Mrundi, siyo Muha.
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,281 Jun 15, 2015 #86 Mbozi hakuna majuha km kigoma
R.B JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 6,296 Reaction score 2,578 Jun 15, 2015 #87 mpaka li chadomo na upawa wakafie mbali; zamu ya vijana kutengeza misingi imatra ya vyama vya upinzani; sio vikongwe
mpaka li chadomo na upawa wakafie mbali; zamu ya vijana kutengeza misingi imatra ya vyama vya upinzani; sio vikongwe