Mweru Mzeru
Member
- Jun 12, 2015
- 9
- 0
Hatma ya CHADEMA iko mikononi mwa UKAWA.
Mkuu inawezekana wameamua kuondoka chama cha wachaga.Sasa huko mbozi hao waliojiunga na chama cha waha wasaliti watajifunzia wapi kuvua migebuka? Ama mtawasafirisha hadi Kibirizi au Kazuramimba??
haaahaaahaaa nimecheka sanaSasa huko mbozi hao waliojiunga na chama cha waha wasaliti watajifunzia wapi kuvua migebuka? Ama mtawasafirisha hadi Kibirizi au Kazuramimba??
Walio jiunga ni wana cdm tu, hakuna wa vyama vingine?
mimi mchaga nitakilinda chama chetu hadi dk ya mwisho
Ungemalizia kuwa wameamua kujiunga na chama cha waha waislamu wa Gungu!Mkuu inawezekana wameamua kuondoka chama cha wachaga.