Wanachama wa CHADEMA Ludewa wachoma kadi na kuhamia ACT-Wazalendo

Wewe ni msemaji wa chadema? Maana ratiba tulonayo sisi wanachama leo lowasa yupo kigoma baada ya jana sumbawanga na mbinga , sasa sijui huyo wa kwako alokuwa anataka kufanya mkutano ludewa katoka wapi?
 
baada ya kushindwa kumpitisha deo kimagumashi mnaleta mengine , Ha! Ha! Haaa!!! hii ndio cdm mkuu , deo akirudi bungeni akatambike .
 
Kwa kweli Upinzani hali yao sio nzuri.Binafsi wamenikatisha tamaa,sioni sababu kwa sasa kuwaunga mkono.Dr Slaa ndiye alikuwa anatukusanya vijana na tunamuelewa.Leo wanamponda.Upinzani bado sana Tanzania.

Ulikuwa CCM acha kuongopa!! Unamfuata mtu wewe ni wa aina yake??
 
Lowasa akwama kufanya mkutano wa kampeni Ludewa.

Na Francis Godwin,Ludewa

BAADA ya Mgombea urais wa CCM Dr John Magufuli kufanya mkutano mkubwa mjini Ludewa, Mgombea urais wa Ukawa Edward Lowasa leo amekwama kufanya mkutano Ludewa.

Pamoja na Ukawa kufanya maandalizi makubwa ya mkutano huo ikiwa ni pamoja na kusafirisha wapambe wake kutoka Maeneo mbali mbali ya Ludewa na nje ya Ludewa hali imekuwa tofauti.

Kutokana na kukosekana kwa mkutano huo baadhi ya wapambe waliosafiri jana kwa malori kuja Ludewa walilazimika kuanza safari ya kurudi kwa miguu kwenda Njombe na vijijini.

Wakizungumza kwa jazba wafuasi hao John Haule kutoka Njombe na Kefa Mbilinyi walisema kuwa waliahidiwa kupewa pesa kwa Kazi ya kuweka ulinzi kwenye mkutano huo ila kwa kukosa kufika kwa Lowasa na kushindikana kwa mkutano huo wamelazimika kutembea kwa miguu kutoka Ludewa kwenda Njombe .

Hata hivyo walisema baada ya kufika Ludewa hali ya upepo kwa UKAWA waliona imebadilika zaidi na kuwa hata Mgombea huyu angefika bado asingemzidi Mgombea wa CCM

Taarifa zilizopatikana zinadai kuwa kutofika Ludewa kwa Mgombea huyo ni kutokana na kushindwa kusafiri kwa gari toka Njombe hadi Ludewa zaidi ya km 70 katika barabara ya vumbi

Katibu wa Chadema Wilaya ya Ludewa hakuweza kupatikana ili kuelezea sababu ya Mgombea wao urais kutofika Ludewa mbali ya mkutano huo katika ratiba kuonyesha ungefanyika Kati ya saa 5 asubuhi hadi saa 6:30 Mchana .

Akiwa katika ziara ya kampeni ya Mgombea Urais wa CCM Wilaya Ludewa Waziri wa Ardhi Wiliam Lukuvi aliwataka wana Ludewa kujenga Imani na CCM chini ya Dr Magufuli kwani ni mtu wa Kazi zaidi.

Lukuvi alisema wapo wagombea wengi zaidi ila Mgombea bora na anaefaa kuwa Rais wa awamu ya tano baada ya Dr Jakaya Kikwete ni Dr Magufuli ambae uchapakazi wake umeonekana.

Huku mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akiwaomba wana Ludewa kutoa kura zote kwa Dr Magufuli na Lowasa kumpa sifuri.

Tumeshaamua kura zetu kwa Lowasa tuu
 
Ratiba za LOWASSA/UKAWA leo haikuwa Ludewa acha usengembeu wewe...... Leo Rais Lowassa ataunguruma Sumbawanga, Nkasi, Mlele, Mpanda
 
Wewe ni msemaji wa chadema? Maana ratiba tulonayo sisi wanachama leo lowasa yupo kigoma baada ya jana sumbawanga na mbinga , sasa sijui huyo wa kwako alokuwa anataka kufanya mkutano ludewa katoka wapi?

Mmmmnh!mbona hatuna ufahamu wa Lowassa kuwepo kigoma leo kwan naamin kimsingi ingejulikana kwa kuwa viwanja vya ndege kigoma ni vichache but hata ofisi ya chama CDM/UKAWA wangetangaza
 
Kevoo-Kero, umebugiiiii. Ratiba ya Mgombea Urais wa Ukawa ni kwamba:
(1) Tarehe 31.08.2015: Ludewa
(2) Tarehehe 3.09.2014: Mlele (saa 5:30 hadi 7:00) na Mpanda (saa 8:30 hadi 9:00)

Ukitaka details niulize kwani mimi ni mwenyeji wa Katavi, na kwa sasa niko huku. Usipende kutuzingua!!!

Ratiba ya Mgombea Mwenza Urais wa Ukawa ni kwamba:
(1) Tarehe 11.09.2015: Ludewa

Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza!!! Jipange tarehe 11 mwezi huu ukamsikilize Babu Duni.
 
Hakuna ubishi mzee hakutia timu ludewa.......hata katavi mambo yalikuwa magumu tena sana.......
 
Ratiba za LOWASSA/UKAWA leo haikuwa Ludewa acha usengembeu wewe...... Leo Rais Lowassa ataunguruma Sumbawanga, Nkasi, Mlele, Mpanda
Atanguruma nyumbani kwenu,,hapa kazi tu..msipanic....si mnataka mbadiliko tushawaambia kachukueni visa mapema na mafisadi papa yenu tingatinga kina ingia ikulu
 
Kwa kweli Upinzani hali yao sio nzuri.Binafsi wamenikatisha tamaa,sioni sababu kwa sasa kuwaunga mkono.Dr Slaa ndiye alikuwa anatukusanya vijana na tunamuelewa.Leo wanamponda.Upinzani bado sana Tanzania.

Na ww kwa uongo tangu lini slaa alikuwa anakusanya vijana?
 
Huko kwenye usafiri wa Mwafrika pekee kuna nini cha ziada? Huyo mbunge wenu kama alikuwa anajiamini kwanini alikimbilia ushindi wa mezani? Tafakari na chukua hatua
 
Lowasa akwama kufanya mkutano wa kampeni Ludewa.

Na Francis Godwin,Ludewa

BAADA ya Mgombea urais wa CCM Dr John Magufuli kufanya mkutano mkubwa mjini Ludewa, Mgombea urais wa Ukawa Edward Lowasa leo amekwama kufanya mkutano Ludewa.

Pamoja na Ukawa kufanya maandalizi makubwa ya mkutano huo ikiwa ni pamoja na kusafirisha wapambe wake kutoka Maeneo mbali mbali ya Ludewa na nje ya Ludewa hali imekuwa tofauti.

Kutokana na kukosekana kwa mkutano huo baadhi ya wapambe waliosafiri jana kwa malori kuja Ludewa walilazimika kuanza safari ya kurudi kwa miguu kwenda Njombe na vijijini.

Wakizungumza kwa jazba wafuasi hao John Haule kutoka Njombe na Kefa Mbilinyi walisema kuwa waliahidiwa kupewa pesa kwa Kazi ya kuweka ulinzi kwenye mkutano huo ila kwa kukosa kufika kwa Lowasa na kushindikana kwa mkutano huo wamelazimika kutembea kwa miguu kutoka Ludewa kwenda Njombe .

Hata hivyo walisema baada ya kufika Ludewa hali ya upepo kwa UKAWA waliona imebadilika zaidi na kuwa hata Mgombea huyu angefika bado asingemzidi Mgombea wa CCM

Taarifa zilizopatikana zinadai kuwa kutofika Ludewa kwa Mgombea huyo ni kutokana na kushindwa kusafiri kwa gari toka Njombe hadi Ludewa zaidi ya km 70 katika barabara ya vumbi

Katibu wa Chadema Wilaya ya Ludewa hakuweza kupatikana ili kuelezea sababu ya Mgombea wao urais kutofika Ludewa mbali ya mkutano huo katika ratiba kuonyesha ungefanyika Kati ya saa 5 asubuhi hadi saa 6:30 Mchana .

Akiwa katika ziara ya kampeni ya Mgombea Urais wa CCM Wilaya Ludewa Waziri wa Ardhi Wiliam Lukuvi aliwataka wana Ludewa kujenga Imani na CCM chini ya Dr Magufuli kwani ni mtu wa Kazi zaidi.

Lukuvi alisema wapo wagombea wengi zaidi ila Mgombea bora na anaefaa kuwa Rais wa awamu ya tano baada ya Dr Jakaya Kikwete ni Dr Magufuli ambae uchapakazi wake umeonekana.

Huku mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akiwaomba wana Ludewa kutoa kura zote kwa Dr Magufuli na Lowasa kumpa sifuri.
[h=2]Mji Wa Mpanda wazizima, Lowassa asimamisha shuguli za mji wote[/h]
Huyu jamaa sasa amekuwa tatizo.. Hakuna namna nyingine acha aende ikulu tu
attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Propaganda za ccm hazina shule maana zimekwama kilaini hata wasiyo na darasa wamezigundua mapema

you are finished
 
Huko kwenye usafiri wa Mwafrika pekee kuna nini cha ziada? Huyo mbunge wenu kama alikuwa anajiamini kwanini alikimbilia ushindi wa mezani? Tafakari na chukua hatua

Ushindi wake wa mezani umeshindikana,mwaka huu filikunjombe anausahau ubunge
 
Back
Top Bottom