WANACHAMA WA CCM NI WANAFIKI

WANACHAMA WA CCM NI WANAFIKI

Nimewahi kuhudhuria vikao vya chama Cha Mapinduzi 2020 na mara ya mwisho Jana. Hawa jamaa wanachama wao hawajui hata katiba ya chama, hawajui hata chama chao.

Vikao vyao wengi wanaenda Kwa sababu wameahidiwa kulipwa, Kulikua na wanafunzi wa form 5-6 Jana.
Watu wanaojiunga kwa maslahi binafsi ya kupata connections lakini tukizungumzia uzalendo, CCM ni 0.

Nabaki kujiuliza ni kizazi Gani wanazalisha Hawa jamaa, kizazi Cha wachoyo, wabinafsi, wezi na madiktator wa kesho.
Ulichukua hela hukuchukua..??
 
Hilo hata Mh. Mbunge Bwege kwa wakati aliwaambia Bungeni kwamba yaani wakiulizwa wananjaa watakujibu ndio, baada ya muda ukiwauliza mmeshiba watakuambia ndio wameshiba
 
Chukua Chako Mapema
Kura yako Chadema
Hata mimi huwa naenda kuchukua kodi yangu napita hiviiii... Zile pesa ni zetu
Kula Lumumba kulala mikocheni
 
Nimewahi kuhudhuria vikao vya chama Cha Mapinduzi 2020 na mara ya mwisho Jana. Hawa jamaa wanachama wao hawajui hata katiba ya chama, hawajui hata chama chao.

Vikao vyao wengi wanaenda Kwa sababu wameahidiwa kulipwa, Kulikua na wanafunzi wa form 5-6 Jana.
Watu wanaojiunga kwa maslahi binafsi ya kupata connections lakini tukizungumzia uzalendo, CCM ni 0.

Nabaki kujiuliza ni kizazi Gani wanazalisha Hawa jamaa, kizazi Cha wachoyo, wabinafsi, wezi na madiktator wa kesho.
Ni mambo ya aibu sn
 
Uzalendo haupo kwa wananchi wengi watanzania, sio CCM peke yake.
Wananchi waliowengi si wazalendo wa nchi yao. Maana wasingeharibu miundo mbinu kama umeme, maji, mwendo kasi, SGR, kulipa kodi na mengineyo.
 
Back
Top Bottom