Km wamezitumia hiyo ni juu yao maana hakuna sehem walipoingia mkataba na mwanachama wa kutumia hela zake.Tujiulize kwanza NSSF pesa wanazo za kulipa?
Mtawafanya nini? Hili ndilo linaumiza zaidi.Km wamezitumia hiyo ni juu yao maana hakuna sehem walipoingia mkataba na mwanachama wa kutumia hela zake.
Upuuzi Sana unaambiwa njoo kesho Rudi sijui Mara network hakuna mpk unakoma kukinikushaa tu maana sheria inasema Ni siku 14 inakuwaje mwaka mxima ubabaishwe #tunatakapesazetu#Ni kukinukisha tu, haiwezekani hela zitu zikatumika kugawanya kwenye mikutano ya jiwe, waka wanachama wenye hela zetu twafa.
Yes we can huu upuuz tuukataeHii ya mafao ni cross-cutting. Sio polisi, mwanajeshi, tiss, mgambo wala mwalimu atakayepona.
Yafaa ifike mahali wote tunene lugha moja ili nchi iweze kukombolewa
Mkuu hiyo mlikubaliana na nani wakati ni mwendo wa miaka 55Tulishakubaliana mtu apewe chake, akafie mbele!
Keyboard warriors wamejaa humu
Hakuna lolote hawana hela.BREAKING: Wanachama NSSF Wakinukisha! Wafanyakazi Watimua!
BAADHI ya wanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), wamekusanyika leo Jumatatu, Aprili 29, 2019 katika Ofisi za NSSF wilaya ya Kinondoni zilizopo Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam wakidai malipo ya stahiki zao.
Wakizungumza na Global TV nje ya ofisi hizo, kwa nyakati tofauti, wanachama hao wameilalamikia NSSF wakisema imeshindwa kuwalipa mafao yao kwa wakati licha ya kukamilisha taratibu zote na kuahidiwa kulipwa, wamedai wamekuwa wakipoteza muda mrefu kufuatilia malipo yao bila mafanikio.
Hata hivyo, baadhi ya wafanyakazi wa NSSF waliokuwepo, walijifungia ndani ya vyumba vya ofisi hiyo na kugoma kuzungumzia sakata hilo, huku jengo zima la ofisi zao likiwa giza.
Aidha, Meneja wa Mkoa wa NSSF amezungumza na Global TV kwa njia ya simu na kukiri kupokea malalamiko hayo na kuahidi kuwa yupo njiani anaeleka ofisini kwa ajili ya kutatua mgogoro huo na kwamba tatizo kubwa lililokuwepo ni kuharibika kwa miundombinu ya umeme kwa siku kadhaa hadi leo na kusababisha kushindwa kufanya kazi.
Yes mpaka wajue hatutaki upumbavu tenaTunatarajia kukiwasha Bukoba mazee.
Leo na mimi nilikuepo pale, wanadai eti umeme umekatika na imekua ni hadithi tangu last week umeme hamna, kabla ya hapo wamesumbua mwezi mzima kila ukienda wanasema system ipo down wanakupiga tarehe,BREAKING: Wanachama NSSF Wakinukisha! Wafanyakazi Watimua!
BAADHI ya wanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), wamekusanyika leo Jumatatu, Aprili 29, 2019 katika Ofisi za NSSF wilaya ya Kinondoni zilizopo Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam wakidai malipo ya stahiki zao.
Wakizungumza na Global TV nje ya ofisi hizo, kwa nyakati tofauti, wanachama hao wameilalamikia NSSF wakisema imeshindwa kuwalipa mafao yao kwa wakati licha ya kukamilisha taratibu zote na kuahidiwa kulipwa, wamedai wamekuwa wakipoteza muda mrefu kufuatilia malipo yao bila mafanikio.
Hata hivyo, baadhi ya wafanyakazi wa NSSF waliokuwepo, walijifungia ndani ya vyumba vya ofisi hiyo na kugoma kuzungumzia sakata hilo, huku jengo zima la ofisi zao likiwa giza.
Aidha, Meneja wa Mkoa wa NSSF amezungumza na Global TV kwa njia ya simu na kukiri kupokea malalamiko hayo na kuahidi kuwa yupo njiani anaeleka ofisini kwa ajili ya kutatua mgogoro huo na kwamba tatizo kubwa lililokuwepo ni kuharibika kwa miundombinu ya umeme kwa siku kadhaa hadi leo na kusababisha kushindwa kufanya kazi.
Hahah tena wanatumwa na mabeberu..in jiwez voiceHao wanachama ni wapiga deal tu.