Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Wanachama 453 wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Septemba 15, 2025 wakibainisha kuvutiwa na uongozi wa mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Mwakilishi wa wanachama hao Faki Ali Juma amesema wameamua kujiunga na CCM baada ya kushuhudia kasi ya maendeleo na dira ya uongozi wa Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Dkt. Mwinyi anawania muhula wa pili wa Urais wa Zanzibar.