Wanachama 25 washikiliwa na polisi Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachama 25 washikiliwa na polisi Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwan mpambanaji, Nov 2, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wanachama 25 wa CHADEMA pamoja na wakazi wa Arusha,wameshikiliwa kwenye kituo kikuu cha polisi mjini hapa,habari kutoka ndani ya jeshi la polisi zinasema kuwa wameshikiliwa kutokana na madai kadhaa ikiwepo la vifodi kugoma,
  Habari hizo zinadai kuwa polisi wanahaha kutafuta nani hasa wapo nyuma ya mgomo wa vifodi.Wakati huo huo polisi wanamtafuta sana Kamanda wa Bavicha Mkoa wa Arusha Nanyaro ambaye pia ni diwani wa Levolosi,inadaiwa kuwa Nanyaro ana ushawishi sana kwa vijana wa mkoa,na pengine anaweza kuwa nyuma ya huu mgomo
   
Loading...