Ng'egera
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 766
- 419
Baraza la vijana chadema limetoa tamko kwa wanachadema wote nchini kwenda dodoma kushirikiana na jeshi la polisi kwa ajili ya kuzuia mkutano haramu wa ccm endapo watakaidi zuio lililotolewa na rais kuzuia mikutano na makongamano ya vyama vya siasa mpaka 2020